pumbavuWanaJF,
Uwepo Wa muhula wa pili wa kugombea Urais una madhara makubwa kuliko tunachokitafuta.
Katika Hali ya kawaida kufanya uchaguzi Kila baada ya miaka mitano huku uwezekano wa Rais aliyepo madarakani kuendelea ni 100% ni kupoteza muda na rasilimali pesa
Napendekeza tuwe na muhula mmoja Wa urais, lakin Rais akae miaka saba madarakani baada ya miaka saba anatafutwa Rais mwingine.
Kwa maana hii , Kwa Sasa Magufuli angetawala mpaka 2022 then tutafute Rais mwingine atakaye kaa Kwa miaka saba tu.
Wabunge waruhusiwe kuchaguliwa Kila baada ya miaka saba Kwa ukomo Wa term mbili tu,tusiwe na wabunge Wa kukaa miaka 20 jimboni.
Ukomo Wa urais kwa term Moja ya miaka saba ni Bora kuliko miaka 10 ya uraisi.
WanaJF,

Tufanye 10
P
Soma tarehe ya bandiko hiliPoti bana, umeanza.
Or lifelongTufanye 10
P
Yes hilo pia nilishauri hapaOr lifelong
Uzee unatunyemelea potiSoma tarehe ya bandiko hili
PKwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Hii umeupdate leo poti.Tufanye 10
P
No sija update leo, soma hii post nimekuwa quoted https://www.jamiiforums.com/threads...uzi-wa-rais-2020.980346/page-15#post-32284956Hii umeupdate leo poti.
Dr Hastings Kamuzu Banda wa Malawi, Mobutu Seseseko Kuku Ngw'andu wa Zabanga wa Zaire, Field Marshal Idd Amin Dadaa wa Uganda kuwataja wachache walikua na uzalendo wa hali ya juu kwa nchi zaoYes hilo pia nilishauri hapa