Urais CCM: Hofu ya uasi yatanda

Urais CCM: Hofu ya uasi yatanda

Naomba niwaulize ndugu zangu Watanzania, ni nani anaetumia nguvu nyingi ktk hili la Mh Edo ni yeye binafsi au ni kundi fulani la wapambe wake? Kwanini Hela nyingi zinatumika kiasi hiki kuhakikisha anateuliwa? Namuomba MWANA DIWANI atupe ufafanuzi wa hili jambo. Taifa letu limefika mahali pabaya mno. No money no Leadership.
Nani anatoa pesa zote hizo na kazipata wapi? Nyerere aliuliza, " Atazilipaje?"
 
Hawa mabrushi wanazidi kutuharibia nchi yetu huku tunachekea kwanza wamehujumu uchumi kwenye sekta ya nishati,wakaja sekta ya mawasiliano ,sasa uraisi,halafu machafuko yakiaanza wao wana kwao,tusikubali mgeni tajiri mwizi atuchagulie raisiili aendelee kutuibia zaidi.
 
hakuna mwenye uwezo wa kupambana na lowasa ndani ya c kamwe pamoja na ufisadi wake
 
Watanzania tulio wengi tunajiuliza ni lipi lengo la huyu Lowassa kutaka kwa nguvu zote kuingia Ikulu, ni kuwatumikia wananchi? Kukitumikia chama chake? Au ni kwa ajili ya maslahi yake binafsi??? Lowassa ana lipi jipya na unique la kuifanyia nchi hii???

Iko wazi, Lowassa ni mwizi na fisadi aliekubuhu...Watanzania tunapaswa kumuogopa mtu huyu???

Kweli we ni bigurube,wewe umeifanyia nini familia yako sembuse tu nchi yako.jk nae je,ni yupi hapa tz alifanya lipi kwa nani!!acha uharo mdomoni mwako ukiutoa tunatapika
 
Kweli we ni bigurube,wewe umeifanyia nini familia yako sembuse tu nchi yako.jk nae je,ni yupi hapa tz alifanya lipi kwa nani!!acha uharo mdomoni mwako ukiutoa tunatapika

Ukisikia uwiiii! Ujue limempata hilo...tulia dozi ikuingie dogo...kikubwa nitakachoifanyia familia yangu ni pamoja na kukuposa wewe!:sly:
 
Ccm sote ni wazi ila wanapishana kwa viwango tu. Uliza serikali za mitaani zinavyoliza watu kwa jina la chama hicho
 
Watanzania tulio wengi tunajiuliza ni lipi lengo la huyu Lowassa kutaka kwa nguvu zote kuingia Ikulu, ni kuwatumikia wananchi? Kukitumikia chama chake? Au ni kwa ajili ya maslahi yake binafsi??? Lowassa ana lipi jipya na unique la kuifanyia nchi hii???

Iko wazi, Lowassa ni mwizi na fisadi aliekubuhu...Watanzania tunapaswa kumuogopa mtu huyu???

Wewe na Lowasa tuu Ndiye pekee aneyeutaka Urais!!?au ndiye wewe usiyemtaka?be specific
 
Jibu ni jepesi tu nafasi ya kuongoza nchi jaipo mikonon mwa raisi ni kwa watanzania,na hii habari pia ni kampeni ya kumpa madaraka makubwa raisi ili mgombea wanae mtaka wenyewe apate nguvu bila kukataliwa,ila cha msingi wakumbuke mwaka huu wasipomleta mtu ambaye wananchi katika chama chochote wanamkubali hata akiwa ccm,basi mkono wa kwa heri utawahusu
 
Tatizo wagombea watarajiwa wa vyama vyote wengi wao wanachafua wapinzani badala ya kutuelezza wapigakura WATALIFANYIA NINI TAIFA WAKIINGIA IKULU.

SI LOWASA MEMBE WALA LIPUMBA NA MBOWE WAMETUELEZA NINI WATAFANYA WAKIINGIA IKULU

Ni Le Prof. pekee anayehangaika kuuza maono au ndoto zake akiingia ikulu.
 
wasiwasi wangu katika hili ni kuwa kama watu wanatumia nguvu ya pesa katika kutafuta kura nini maana yake atakapopata nafasi hiyo. mwalimu aliwahi kusema ya kuwa ikuli ni mahali patakatifu ni sehemu ambayo inahitaji kuheshimiwa sasa kama leo watu wanaanza kufanya kinyume nas kile ambacho mwalimu alikuwa anakataa maana yake ni kuwa watu wanaangalia maisha yao peke yao na wala siyo maisha ya watanzania
 
wasiwasi wangu katika hili ni kuwa kama watu wanatumia nguvu ya pesa katika kutafuta kura nini maana yake atakapopata nafasi hiyo mwalimu aliwahi kusema ya kuwa ikuli ni mahali patakatifu ni sehemu ambayo inahitaji kuheshimiwa sasa kama leo watu wanaanza kufanya kinyume nas kile ambacho mwalimu alikuwa anakataa maana yake ni kuwa watu wanaangalia maisha yao peke yao na wala siyo maisha ya watanzania
hakika watz tumuogope m2 anaytumia pesa kupata madaraka tusije juta!
 
Jiulizeni hizo pesa mtazilipaje atakapoingia madarakani huyo mtu.
 
Magazeti yanayoandika habari za namna hii na kukariri "chanzo chetu cha habari" yanatakiwa kudhibitiwa...hivi kikao cha wahariri kilichofanyika Morogoro kilileta mabadiliko gani. Hizi ni habari za uzushi!
Habari za uzushi kwa vile hii habari inaihusu CCM au habari za uzushi kwa vile sio CDM iliyoshambuliwa?
 
FFU wanasubiri kwa hamu ikitokea CCM kikawa chama pinzani.
 
Hakuna wa kuitoa ccm makini ikulu acheni ndoto za mchana labda kama mnajifariji tu
 
Back
Top Bottom