Urais 2020: Twende na huyu

Urais 2020: Twende na huyu

Semeni People

Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
35
Reaction score
16
Sifa zake zimejipambanua kwa kuleta Miradi ya umeme nchini, mtu wa watu anayependa kuboresha maisha baada ya story mtaani leo jamaa ana nafasi kubwa kuchukua mshale na SMG

Ahahahaaaa chochea chochea ili Mzee baba alianzishe
 
Kwa 2020 rais tayari tunaye, labda kama ni 2025

P
 
Kwa 2020 rais tayari tunaye, labda kama ni 2025

P
Tunaye kivipi!?sijakuelewa!una maana uchaguzi usiwepo mpaka 2025!?
 
Mkuu kwa mujibu wa katiba ya JM ,Rais anapatikana kila baada ya Uchaguzi kufanyika .Naamini kwa ufahamu wako unajua kabisa Uchaguzi haujafanyika,usijitoe ufahamu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa 2020 rais tayari tunaye, labda kama ni 2025

P
Mengi yanaweza kutokea kati ya leo na october 2020. kuna mambo mengi uanayoweza kusababisha mtu asiendelee kushika ofisi.
 
Mengi yanaweza kutokea kati ya leo na october 2020. kuna mambo mengi uanayoweza kusababisha mtu asiendelee kushika ofisi.
Kwa vile kwa Tanzania hatujawahi, naomba usitukumbushe ile ndoto ya Lema.
Urais tuzungunzie 2025
P
 
Back
Top Bottom