Urais 2020: Twende na huyu

Urais 2020: Twende na huyu

Kwa 2020 rais tayari tunaye, labda kama ni 2025

P
Mnae wewe na nani semea nafsi yako , hiyo ya mnae ni maoni yako mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnae wewe na nani semea nafsi yako , hiyo ya mnae ni maoni yako mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
No sio maoni yangu, it's a fact
P
 
No sio maoni yangu, it's a fact
P
Naona kama siku hizi huna facts ila unataka kulazimisha unachoamini we we ndo watu wote tuamini!hili ni jukwaa lenye hoja na fikra tofauti sasa kama wote tutakuwa tunafikiria sawa basi lazima kutakuwa na tatizo na kutakuwa hamna haja ya hii platform!... Unavyoonekana unataka hata huyo rais unayemtaka apite bila kupingwa!..amini usiamini unavyofikiria wewe kwa umri wako ni tofauti sana na vijana uliowazidi umri so usihalalishe unachoona wewe sahihi basi ukaona kila mtu anaona ni sahihi!
 
Back
Top Bottom