Urais 2015: Uhusiano wa Samwel Sitta na Richmond

Urais 2015: Uhusiano wa Samwel Sitta na Richmond

Weak minded discuss about people...why don't you discuss issues instead? Naona uchafu wa dhamira yako kwa Sitta, labda na kwa wengine unaotaka kutueleza badala ya kujadili hoja unajadili watu. Simtetei Sitta kwa uovu wowote ila naona Nia zako ovu kwa watu. Hebu badilika uondoe aibu yako
We mkulima wa kuku ndo sita mwenyewe au?humu tudiscuss ishu gani au tumdiscuss tu lowasa.acha wizi wa kuku wa wafugaji wenzio.kalaghabaho mkubwa
 
Inaonekana kuna kamchezo kachafu kalichezwa kwenye Ishu ya Richmond.
Ndio maana baada ya kukamilisha lile sakata tukaona Majasusi wakitaka kumnyofoa Mwakyembe ili baadae asije akawapiku umaarufu au kueleza ukweli .
Hii ndio kawaida ya majasusi ukishamaliza kufanya kazi waliyokutuma wanakumaliza na kupoteza ushahidi huku wakitumia madaraka yao kutangazia umma kuwa hawakuhusika na waliohusika ni wale waliowapa jina la ufisadi.
 
tutashudia sarakasi nyingi mno kuelekea October 2015. :car:
 
Stroke na matakataka yote ya WAMA aka Team Membe... Hakuna siku ambayo Mh Rais anajutia kama siku aliyomteua Pinda kuwa PM ...
 
Mkuu nkuwi aka Imani ... Mimi simo katika Team Lowassa ila natamani Lowassa awe Rais maana wamemsingizia mambo mengi sana ya kipuuzi .... BTW ndani ya CCM hakuna mwenye utendaji uliotukuka zaid ya Lowassa ...
Mkuu RockSpider, hii kazi uliyoipewa na Mamvi imekuzidi kimo!

Kiufupi team yenu mmepanic sana, tulieni tafakarini kwa kina hiyo safari yenu cjui ya nn?
 
Back
Top Bottom