Urais 2015: Uhusiano wa Samwel Sitta na Richmond

Urais 2015: Uhusiano wa Samwel Sitta na Richmond

Nimelazimika kuandika kuweka takwimu sahihi kwa vizazi hivi na vizazi vijavyo; kuanzia sasa nitakuwa nawachambua watia nia wote wa Urais wanaojinasibu kuwa ni WAZALENDO ingali wao ndo Mafisadi Papa katika nchi hii. Lengo ni kuweka mambo hadharani ili hatimae Umma ufanye maamuzi sahihi hapo October.

SEHEMU YA KWANZA nitaanza kumchambua Samwel Sitta:
1. akiwa Mkurugenzi wa TIC aliridhia sera mbovu ya uwekezaji (Investment Policy 1996) iliyoandaliwa vilivyo kwa maslahi ya USA et al... To date sera ya uwekezaji inayojali zaidi Wawekezaji kuliko wazawa haijawahi kuwa reviewed ...
2. Akiwa Mkurugenzi wa TIC alikwenda USA kuonana na Wamiliki wa Richmond kwaajili ya kujenga bomba la mafuta kutoka Dar hadi Mwanza!! upembuzi yakinifu juu ya mradi huo ulifanywa na Kampuni ya kizalendo ya akina Muro wa mbezi tiles!!! Sitta aliiba nyaraka husika na kasha kuzikabidhi kwa Richmond! Deal lilivunjika baada ya akina Muro kutishia kwenda Mahakamani ... kwa ufupi Richmond ililetwa na Samwel Sitta ... Uchunguzi wa kina uliofanyika inaonyesha kuwa Zengwe la kumharibia lowassa lilipikwa na kutengenezwa in collaboration with Richmond, Membe na Sitta...
3. Wakati wa Ujenzi wa Barabara ya Musoma - Nyanguge: Sitta alikula rushwa ya kuletewa vifaa vya ujenzi kwenye Makontena! TISS walitoa taarifa kuhusiana na nyumba ya Sitta iliyoko Urambo... Sitta ni Mchafu Mla Rushwa Mkubwa kuliko wote Tanzania ... wadau mbali mbali wanalijua hili ...
4. Sitta aliwahi kuipeleka Simba Brazil kwa fedha za walipa kodi wa Tanzania.. Mameneja wa Simba akina Slvio walikuwa wanakula na kulala bure Kilimanjaro Hotel miaka nenda miaka rudi Jambo lililopelekea kuzorotesha huduma za hotel ..
5. Sitta alikamatwa akimla mke wa Mwanausalama Iringa na Rais Mwinyi alionyeshwa picha zake za Utupu jambo lililopelekea Alhaji Mwinyi kupiga Astakafirulllah mara 20! Baada ya hapo aliondolewa kuwa Mkuu wa Mkoa... Sitta anajulikana kuwa alikuwa anatumia madaraka yake kujilimbikizia wanawake wa kila aina! Wengi wanamjua kwa uzinzi wake uliopitiliza na ambao kwa kiasi kikubwa kilimfanya ashindwe kuwekeza hivyo kuwaonea wivu viongozi wenzake waliofanikiwa kimaisha...
6. Madudu ya BMK hope wote mnayafahamu ... Alisababisha Serikali kuingia kwenye Gharama kubwa wakati ilikuwa inajulikana wazi kuwa bila Maridhiano Bunge hilo lisingekuwa na tija, alipigisha kura hadi makaburu na mahujaji! Afisa Ubalozi wa Tanzania nchi Saudia alirejeshwa nyumbani kwa kueleza ukweli kuwa Mahujaji hawakuweza kupiga kura! Sitta ni muumini mzuri wa uchakachuaji wa matokeo... UFISADI WAKE CDA na DIA nitawaletea Baadae...
....FACTS ZITANDELEA ...

Hahahahha hakuna msafi hapo su sitta sio membe c lowassa c mwakyembe huo ndio ukwel
 
Funguka Zaidi Mkuu tumjue huyu mnafiki 6 aliyesimamia Katiba Mpya "kulawitiwa" Na Maccm
 
Mkuu huo ulikuwa n Ukweli mtupu... Chief Adam Sapi Mkwawa ambaye alikuwa Spika wa Bunge la JMT alikuwepo kwenye kikao... To date picha zipo ...
Ha ha ha ha ha hiyo ya raisi mwinyi kupiga astakafililahi mara 20 imenichekesha sana
 
Nitafunguka Mkuu... Data zinaendelea kupakuliwa ... Tumechoshwa na Usanii wa kuwaaminisha kuwa baadhi ya watu ni Mafisadi wakati really FISADIs wanaachwa wanajiona kama Miungu watu ...
Funguka Zaidi Mkuu tumjue huyu mnafiki 6 aliyesimamia Katiba Mpya "kulawitiwa" Na Maccm
 
Sita asijaribu kabisa hata kuuzungumzia Urais, maana kama kuna watu walishuka kiwango mpaka chini baada ya bunge la katiba, ni huyu babu wa urambo!
 
Mchuja nafaka, haya mambo yalipikwa yaka pikika, kwa wakati mmoja! Muda wote huu mchezo unachezwa Membe alikuwa Busy kumuaminisha Rais kuwa Lowassa amejiandaa kumpindua, USA ilikuwa inamuona Lowassa kama Threats kwenye miradi yao! Kamati ya Mwakyembe ilipelekwa USA kwa Gharama za wakubwa wa Dunia hii... walipofika kule walifumbwa mdomo na hapohapo TOR ilibadilishwa kuwa ni kumuondoa EL ... Rejea Speeches za JK aliposema kuwa Rafiki yake alipata ajali ya kisiasa na kuwa amegundua kuwa kuna watu wanamiliki viwanda vya Uongo... Fitna za kumtenganisha Lowassa na JK ni nyingi sana ... Hata kura za Marohan zililenga kumchafulia Lowassa!!! Hadi Pale Lowassa mwenyewe alietoa Pendekezo kuwa Kura zipigwe ki-mikoa ili ijulikane n mkoa upi ambao haumtaki JK... Hiyo ndo ilikuwa pona ya JK ... Kama utakuwa na kumbukumbu nzuri; Sitta alitaka kutimuliwa pale ambapo akina Nchi walipokuja na hoja ya kumng'oa kwakuwa alimdanganya rais... tayari alikuwa ameanzisha CCJ hadi pale Bw Kasesela alipokwenda kumuambia kuwa atulie kwani ingeleta madhara hadi kwa Membe ambaye anaandaliwa kuchukua nafasi ya JK ...
Kwahiyo RICHMOND ililetwa nchini na Samwel Sitta na baadae akaviringisha taarifa kupelekea watu wote waone wahusika kina Karamagi, Msabaha, Lowasa.
Sasa inawezekanaje CCM ikaruhusu kutumikia mtu kama Sitta badala ya wanachama na watanzania?
Inawezekanaje Sitta ambaye hakuwa mwenyekiti wa CCM kuwa na uwezo mkubwa wa kumuonea Lowasa bila zuio lolote?
 
Naam, kama tuonavyo.

Sasa hivi nimeamuwa nisijibizane kabisa kwenye hizi habari za siasa za kuelekea uchaguzi, nimeshaona ni pasua kichwa tu.

Yangu macho na masikio.

Mama nadhani unaona kile tunachokilalamikia kila siku hapa. Hizi tabia za siasa za majitaka zilianza rasmi wakati JK anachaguliwa kuwa rais 2005, kwa sasa ndio imeonekana ni njia sahihi ya kupata uongozi hapa nchini. Halafu unategemea hao wanaoingia madarakani kwa siasa za majitaka kupitia media watakuwa na uwezo wa kuongoza nchi? Hapa ndio ccm ilipolifikisha taifa hili kisiasa.
 
Weak minded discuss about people...why don't you discuss issues instead? Naona uchafu wa dhamira yako kwa Sitta, labda na kwa wengine unaotaka kutueleza badala ya kujadili hoja unajadili watu. Simtetei Sitta kwa uovu wowote ila naona Nia zako ovu kwa watu. Hebu badilika uondoe aibu yako
Sasa asipomjadili kiongozi ambae anataka kushika mamlaka ya juu ya nchi wakati tunaelekea uchaguzi mkuu unataka ajadili nini? Nchi za wenzetu za ulaya na marekani wanajadili hadi kiongozi kutumia email binafsi badala ya umma mtu anaonekana hafai! Utakuwa unawaza kwa kutumia yale madude aliyosema masaburi!
 
Mchuja nafaka, haya mambo yalipikwa yaka pikika, kwa wakati mmoja! Muda wote huu mchezo unachezwa Membe alikuwa Busy kumuaminisha Rais kuwa Lowassa amejiandaa kumpindua, USA ilikuwa inamuona Lowassa kama Threats kwenye miradi yao! Kamati ya Mwakyembe ilipelekwa USA kwa Gharama za wakubwa wa Dunia hii... walipofika kule walifumbwa mdomo na hapohapo TOR ilibadilishwa kuwa ni kumuondoa EL ... Rejea Speeches za JK aliposema kuwa Rafiki yake alipata ajali ya kisiasa na kuwa amegundua kuwa kuna watu wanamiliki viwanda vya Uongo... Fitna za kumtenganisha Lowassa na JK ni nyingi sana ... Hata kura za Marohan zililenga kumchafulia Lowassa!!! Hadi Pale Lowassa mwenyewe alietoa Pendekezo kuwa Kura zipigwe ki-mikoa ili ijulikane n mkoa upi ambao haumtaki JK... Hiyo ndo ilikuwa pona ya JK ... Kama utakuwa na kumbukumbu nzuri; Sitta alitaka kutimuliwa pale ambapo akina Nchi walipokuja na hoja ya kumng'oa kwakuwa alimdanganya rais... tayari alikuwa ameanzisha CCJ hadi pale Bw Kasesela alipokwenda kumuambia kuwa atulie kwani ingeleta madhara hadi kwa Membe ambaye anaandaliwa kuchukua nafasi ya JK ...

Safari hii mtaongea yote kuturahisishia kazi UKAWA
Ni dhambi kuendelea kuchagua chama kinachojiendesha kimarohani
 
Bora UKAWA wachukue nchi kuliko wanafiq wenye kujifanya wapambanaji wa UFISADI ilhali wao ndo Mapapa... CCM wenyewe wanajua kuwa Bila Lowassa UKAWA watajipigia kama mlevi wa gongo ...
Safari hii mtaongea yote kuturahisishia kazi UKAWA
Ni dhambi kuendelea kuchagua chama kinachojiendesha kimarohani
 
Mkuu RockSpider, hii kazi uliyoipewa na Mamvi imekuzidi kimo!

Kiufupi team yenu mmepanic sana, tulieni tafakarini kwa kina hiyo safari yenu cjui ya nn?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja alete tumskilize. Nimeisikiliza hiyo link. Tutajua kama ukweli sometimes ugeuka kuwa uongo
 
Back
Top Bottom