Urais 2015: NEC yamuidhinisha Lowassa na mgombea mwenza kupeperusha bendera ya CHADEMA

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA mh. Lowassa na mgombea Mwenza Mh. Duni Haji wamekidhi vigezo vyote na muda mfupi uliopita NEC imemuidhinisha kuendelea na hatua ya kampeni.

View attachment 278757
Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea mwenza mh. Juma Haji Duni wakikabithi fomu kwa mwenyeki wa NEC Jaji Lubuva.

View attachment 278760
Mh. Lowassa akiongea na waandishi wa habari
 
Sasa kazi ianze ngoja nizne kampeni kwanza kwa ndugu, jamaa na marafiki wote lazima ni hakikishe wanampigia Lowasa
 
Mgombea uraisi kupitia CHADEMA amekidhi vigezo vyote na muda mfupi ulipotia NEC imemuidhinisha kuendelea na hatua ya kampeni.
Nina imani na Jaji Lubuva, hata ukimtazama usoni unaweza kugundua kama vile anaandamwa na mashinikizo mengi ya kulazimishwa kutenda kinyume na anachofahamu, kiamini, taaluma na utashi wake. Tumtie moyo huyu mzee ili apate nguvu na ujasiri wa kuifanya kazi yake hii ngumu kwa kuongozwa na Mungu (God, Mnungu, Ngai, Mlungu), sheria, taaluma yake, utu na maono yake kuhusu taifa hili. Sitaki kuonaa mzee wa watu huyu anapata misukosuko ya aina yoyote baada ya uchaguzi huu kama iliyompata Kivuitu kule Kenya baada ya uchaguzi uliomweka madarakani Kibaki.
 
UCHAGUZI MKUU 2015: Mgombea
urais wa Chadema/Ukawa

Edward Lowassa
fomu za kuomba uteuzi kwenye

ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)Dar asubuhi hii.

Chanzo :
Adili Media&Mwananchi News

Waliomzushia Mabaya jana wajinyonge
 

Attachments

  • 1440145675978.jpg
    1440145675978.jpg
    42.7 KB · Views: 951
  • 1440145693156.jpg
    1440145693156.jpg
    42.3 KB · Views: 884
Back
Top Bottom