Hakuna mwanasiasa anayeweza kusimamia mambo yake zaidi ya Hamisi Kigwangala ndani ya CCM na hata nje ya CCM...ana historia ya kusimamia madai ya ushuru wa huduma kule nzega mpaka walilipwa fedha hizi, kwa maandamano, kwa kwenda hela mpaka kilieleweka, tupeni mfano wa mwanasiasa wa chadema aliyefanya hivi katika miaka hii mitano zaidi ya kupiga kelele bila hoja na kuwadanganya wananchi! give the devil what is due to him...anaweza asiwe anatosha kwa nafasi ya Urais kwa sasa lakini ameonesha kipaji cha uongozi na kusimamia na kufuatilia maslahi ya wanyonge kuliko mwanasiasa yeyote yule kwa kweli