RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,758
Katika kinyang'anyiro cha urais 2015 dr. Hamisi Kigwangala naye ametajwa baada ya January Makamba kutangaza nia ya kugombea.
Source: Nipashe leo.[/QUOTE)
.... sasa hii kali ya mwaka! Kukosekana kwa Uwajibikaji ndani ya CCM, Kukosekana kwa Malengo Makuu ya Kitaifa kunamfanya kila dogs ndani ya CCM kujiona kuwa anaweza kuiongoza nchi hii...Grrrrr