URAIS 2015, Kigwangala naye atajwa

URAIS 2015, Kigwangala naye atajwa

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Katika kinyang'anyiro cha urais 2015 dr. Hamisi Kigwangala naye ametajwa baada ya January Makamba kutangaza nia ya kugombea.

Source: Nipashe leo.
 
who is kigwagara? anayepayukapayuka?
hafai huyu , ni kama jk!
 
Jamani Kutoka Tabora mgombea pekee tunaemjua ni Samwel Sitta.
Kutoka Mara ni Stephen Wassira.
Arusha ni Edward Lowassa
Lindi ni Benard Membe
Endelea....
 
Kwa hapa ilipofikia nadhani inabidi hata mimi nijitangaze sasa kwamba nautaka urais.
 
Kigwangala hawezi hata kupewa fomu ya urais kwa dhambi aliyoifanya ya kumtelekeza baba yake kwa kuwa mbunge,akiwa rais sindio atalitelekeza taifa?
 
CCM wana hazina kubwa sana ya vijana, bado wengi watatajwa lakini mwisho wa siku atabaki mmoja tu, wale ni wakomavu wa demokrasia.
 
Jamani Kutoka Tabora mgombea pekee tunaemjua ni Samwel Sitta.
Kutoka Mara ni Stephen Wassira.
Arusha ni Edward Lowassa
Lindi ni Benard Membe
Endelea....

Huyu wasira hawezi kabisa kuliongoza taifa,anatabia kama ile ya Mwanasheria mkuu,ngumi mkononi
 
Kigwangala hawezi hata kupewa fomu ya urais kwa dhambi aliyoifanya ya kumtelekeza baba yake kwa kuwa mbunge,akiwa rais sindio atalitelekeza taifa?

si afadhali Kigwangala, kijana mdogo , SLAA na uzee wake ule kamkana baba yake, yeye mbona mnamuotesha ndoto za mchana kuwa kuna siku anaweza kuwa rais?
 
Kwa umbali kidogo Edward Lowasa ndie atakuwa chaguo la wengi
 
Kweli urais ni rahisi.....sijui nani kau simplify Hivyo ...hata vitumbua ?
huwa nashangaa sana ninaposikia eti wasira naye urais,wasira kabisa awe rais wa tz
z,? mi nitahama rasmi hii nchi. eti kingwangala, eti makamba,! kikwete amehzribu kabiza taasisi ya urais wa hii nchi.
 
Kwa umbali kidogo Edward Lowasa ndie atakuwa chaguo la wengi
Lowassa mzee wa Richmond aliyekataliwa na Nyerere kwa kutiliwa shaka juu ya chanzo cha utajiri wake? Au kuna Lowassa mwingine?
 
si afadhali Kigwangala, kijana mdogo , SLAA na uzee wake ule kamkana baba yake, yeye mbona mnamuotesha ndoto za mchana kuwa kuna siku anaweza kuwa rais?

Kamuulize jk mwaka2010,kama siyo huruma ya lipumba kumsaidia kama Leo ange kuwa hapo magogoni,kutokana na nguvu ya Dr,slaa?
 
Lowassa mzee wa Richmond aliyekataliwa na Nyerere kwa kutiliwa shaka juu ya chanzo cha utajiri wake? Au kuna Lowassa mwingine?

Mbona hata kikwete alikataliwa na nyerere,lakini mbona leo ni rais wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom