mundo
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 200
- 9
Kwa mimi ninavyoelewa kuwa Mtoto akizaliwa nchi za nje ila wazazi wote wakawa ni waTZ anahesabiwa kuwa ni raia wa nchi ambayo amezaliwa automatically mpaka akifikisha miaka 18 ndio anaweza kuapa na kuchagua uraia wa nchi moja kati ya URAIA wa wazazi wake ama nchi ambayo amezaliwa. Na hilo nadhani LAZIMA achague nchi moja sababu TANZANIA haiko katika dual citizenship. Kama Nchi ambayo amezaliwa ina dual citizenship haiwezi kumkatalia kuwa na URAIA wa nchi nyngine, Lakini Tanzania LAZIMA Kuapa ili uwe kamili.
Sasa LEO Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi katika Taarifa ya habari saa 2 usiku anatuaminisha kuwa mtu aliyezaliwa nchi ya nje kumthibitisha kuwa ni Mtanzania inabidi tuwaulize nchi hiyo kama sio raia wao ili awe wetu.
Naomba ufafanuzi kwa wale watu waelewa wa issue hii atafafanulie ile tujue cha kufanya kuhusiana na watoto wetu ambao wamezaliwa nje.