Habari zangu ndugu wana jamiiforums. Swali langu ni kuwa nimeishi EU (European Union) for 9years. Nilisoma degree hapa bure na kupata professional job hapa kwa muda wa miaka mitano. Leo hii wana suggest ni apply citizenship kwa kuwa nina creteria zote; kwamba wamenipostia applicationa forms; but note it's not a must. Sheria ya Tanzania hairuhusu uraia wa nchi mbili. Ila in my street knowledge I can handle those two passports in an inapropriate approach kama Wahindi wa Bongo; which is bad!Sasa swali niachane nao au ni apply? Of course passport ya nchi nchi hii niliyopo is one the most valuable passport in the World; ya Marekani is nothing.