Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,255
- 113,669
Jamani,
Ni kitu gani hadi leo hii kinafanya ni nchi chache tu dunuani hadi leo ndo zimekubali dualcitizenship? Maanake ingekuwa mali mbona kila nchi ingechangamkia mapema? Kwa nini hizi nchi zinasita? Lazima liko jambo? Siyo hivi2!
Haya mambo ya serikali to rush to do things 'kwa ajili ya presha' mimi naona sii sahihi! Kwa vile US na UK wamechangamkia nasi tuchangamkie?
Wao ni US na UK sisi ni Tanzania- kwani ni lazima kuiga kila kitu chao? I dont see the reason kwa nini serikali ichangamkie kwa sasa! One can not divide his/her loyality! Sijui kama vita ikitokea kama na Idd Amini mtu yuko US atachukua silaha! Na vita tu vikizuka mwenye pasipoti ya US ndo anakuwa wa kwanza kukimbia!Na zilizokubali zimepata madhara gani? Na kwa nini US na UK wamechangamkia hiyo dili?
Wao ni US na UK sisi ni Tanzania- kwani ni lazima kuiga kila kitu chao? I dont see the reason kwa nini serikali ichangamkie kwa sasa! One can not divide his/her loyality! Sijui kama vita ikitokea kama na Idd Amini mtu yuko US atachukua silaha! Na vita tu vikizuka mwenye pasipoti ya US ndo anakuwa wa kwanza kukimbia!
Nyaningabu,Suala sio kuiga ; suala ni haki na kama inabidi kuiga ili mtu apate haki yake then so be it. Tuna watoto wamezaliwa huku. Kama walivyo na haki ya kuwa Wamarekani pia wana haki ya kuwa Watanzania kwa sababu nusu au zima la chimbuko lao ni huko. Kwa nini mwanangu awe anahangaikia viza akitaka kwenda kuwaona babu na bibi, shangazi na mjomba, binamu na ndugu na jamaa wengine? Ikitokea vita ni wazi watakuwa torn na ndio maana katika sehemu nyeti za kulinda maslahi ya taifa wanatakiwa wazawa kwa asili na kwa kuzaliwa.
Nyaningabu,
Bado naanimi mtu hawezi kuwatumikia mabwana wawili! Hao watoto kwani wakizaliwa US na Watanzania do they cease to be Tanzanians? Kwanini wasiandikishwe uraia wa Tanzania? Kama inakuwa ngumu- ok waje tu watafute visa- kama watu wengine!
Hili swala bado sijaona mantiki kwa Utaifa na uzalendo wetu- mtu aamue moja anapenda kuwa Mtanzania au Mmarekani but not both!
Sijui kama hii sheria imefika bungeni- ila sitashangaa bunge kupitisha haraka2 kama miswada mingine!
Nyaningabu,
Bado naanimi mtu hawezi kuwatumikia mabwana wawili! Hao watoto kwani wakizaliwa US na Watanzania do they cease to be Tanzanians? Kwanini wasiandikishwe uraia wa Tanzania? Kama inakuwa ngumu- ok waje tu watafute visa- kama watu wengine!
Hili swala bado sijaona mantiki kwa Utaifa na uzalendo wetu- mtu aamue moja anapenda kuwa Mtanzania au Mmarekani but not both!
Sijui kama hii sheria imefika bungeni- ila sitashangaa bunge kupitisha haraka2 kama miswada mingine! Naona hili swala linaharakishwa kutokana na 'pressure' bado hajutajapata sababu nzito za msingi!
Eti Sumaye, EL alivyokuja watu walimuuliza- is that not 'pressure'?
Uzalendo wa mahali unatokana na loyalty- na hili swala kuwapa watu passpot mbili2 will rob off loyalty!
Hili swala lijadiliwe kwa kina! Hizo sababu bado hazina uzito- ukilinganisha na uzalendo na utaifa!
Uzalendo na utaifa wenye maana ya loyalty! Mtu ana mguu mmoja Tanzania, mguu mmoja UK huyu je ni Mwingireza au Mtanzania? Akipata taabu kidogo tu sehemu moja anakimbilia kwingine!Uzalendo na utaifa ni nini? Maybe we need to define these two concepts before we go any further...
Mi ndio maana nasema waBongo kweli mnanichosha, yaani hapa choka mbaya. Yaani kweli 'urai wa mtoto wako' ndio sababu ya kutaka kupitishwa muswada huu? Kama unaona Marekani kunakufaa sana, mwache mtoto wako a-assume US citizenship, au ni hiyo $20 ya kulipia viza ya Tanzania ndio inaleta tabu? Are you serious? Eeeh, Wasomi hao, kaazi kweli kweli!
Bwana Masanja ameongea pointi moja, labda kweli kuna kitu kingine ndani ya muswada huu ambacho mimi sijakifahamu, lakini kingine kinachonifadhaisha hapa ni kuwa, of all people mnao-support this citizenship thingy, mnautaka kwa:
1. Family: Uraia wa watoto wenu
2. Viza: Hamtaki kusimama mistari kuomba viza
3. Flexibility ya kusafiri nchi moja na nyingine
Please tell me I am dreaming!
Saidi,
Ahsante kwa kulileta hili.
Ningependa kuwapasia links za documents mbili muhimu kuhusu hii issue ili tuweze kuchangia vizuri zaidi.
Zinapatikana katika website ya Tanzania Law Reform Commission.
1. Position Paper on Introduction of Dual Citizenship in Tanzania
In pdf format:
http://www.lrct-tz.org/PositionPaperOnDualCitizenship.pdf
In MS word format:
http://www.lrct-tz.org/PositionPaperOnDualCitizenship.doc
2. Questionnaire on whether Tanzania should retain Single Citizenship stance or Adopt Dual Citizenship
In pdf format:
http://www.lrct-tz.org/QUESTIONNAIRE-ENGLISH.pdf,
In MS Word format:
http://www.lrct-tz.org/QUESTIONNAIRE-ENGLISH.doc
Jamani,
Ni kitu gani hadi leo hii kinafanya ni nchi chache tu dunuani hadi leo ndo zimekubali dualcitizenship? Maanake ingekuwa mali mbona kila nchi ingechangamkia mapema? Kwa nini hizi nchi zinasita? Lazima liko jambo? Siyo hivi2!
Haya mambo ya serikali to rush to do things 'kwa ajili ya presha' mimi naona sii sahihi! Kwa vile US na UK wamechangamkia nasi tuchangamkie?
Mzalendohalisi,
Ukiangalia sisi Afrika ndio tunaongoza kwa kusua sua kama vile tunavyosua sua kwenye demokrasia. Tatizo kubwa ni ubinafsi, watu ambao hawana nafasi ya kufaidika na hiyo sheria wanaona wale watakaofaidika nao wapigwe nyundo.