Urafiki wa mashaka

Urafiki wa mashaka

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,986
Reaction score
168,507
575046_4939636927962_499926251_n.jpg

Kigwangala, W. Malecela na Hussein Bashe
 
Sijui macho yangu au la Huyo wakati kati picha zake nyingi na mademu sasa kwa kweli hii picha siielewi kwa kweli
 
Na nini kazi ya kila moja wapo?
Kijani ni kwa ajili ya mizizi na dawa za kienyeji za ulinzi binafsi a.k.a zindiko.
Kijani kibichi ni kwa ajili ya kuhakikisha chama kinaendelea kushika hatamu ili kujineemesha mwenyewe.
Kijani maiti ni kuhakikisha mauaji ya wasio hatia yanaendelea hili ni kafara la damu ili tuwaroge watz watupe nchi 2015, maana sasa wanaonekana kama wameshtushwa kutoka usingizini na Chadema
 
Eeeeooooouuuufffffff!!!
 
unanikumbusha ile michoro ya Gedere kucheza disco na chui, Fisi kuchoma mishikaki nk
 
Back
Top Bottom