K KakaNanii JF-Expert Member Joined Sep 28, 2008 Posts 325 Reaction score 52 Aug 17, 2012 #1 Daaah yaani urafiki wa facebook huishia hapo hapo kwenye facebook tu ! Usitegemee watakuja kukuzika ! Attachments URAFIKI WA FACEBOOK.jpg 97.4 KB · Views: 358
Daaah yaani urafiki wa facebook huishia hapo hapo kwenye facebook tu ! Usitegemee watakuja kukuzika !
Asulo JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 719 Reaction score 252 Aug 17, 2012 #2 Pole sana kwake..alikuwa na wanafiki wengi fb.
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Aug 18, 2012 #3 RIP fb addict.:israel:
U Ubungo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 1,306 Reaction score 343 Aug 18, 2012 #4 FB ni ttz
NAFIKA Senior Member Joined Dec 3, 2011 Posts 128 Reaction score 43 Aug 18, 2012 #5 Just refer to its name, FACE BOOK!! So hakuna cha ziada hapo.