Urafiki wa Masaburi...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Urafiki wa MASABURI…
Leo nimeamini kuwa hakuna marafiki kama masaburi… yalizaliwa pamoja; yanaishi pamoja; yanakaa pamoja; yanachapwa pamoja; yanatembea pamoja; yanavaa chupi pamoja na hata kufa na kuzikwa pamoja.
Je, unae rafiki wa hivyo, uringe??!
Usomapo ujumbe huu, tafadhali jamba kwa sauti ya mdomo au masaburi yenyewe ili uyafurahishe masaburi yako!
Unacheka nini sasa??:love::love::third:
 
Masaburi mwisho bwana. Tujifunze tabia zake tutakuwa watoto wazuri. Umesahau moja likibinuliwa lingine huangaliaga tu na kuacha mdomo wazi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom