Urafiki wa Kweli

Sasa hyo dogo chini si kashka uchafu kweli..!!
 

Hiki kichwa cha habari naona kinakufaa wewe mankachara kwani hichi kidude unachoendesha ni best friend wa watoto walio wengi. Nakumbuka enzi zangu nikiendesha hako kafari hata nyumbani wapike wali mi simo niko mitaani tu natafuta abiria na magunia ya mkaa.
 
Last edited by a moderator:

kweli baba akikificha hiki kifaa aweza juta, ata dukani huendi. Ila akikitoa waweza kuenda 1km ukaona ni karibu tu. Tumia hiki kifaa ufike mbali
 
Last edited by a moderator:
Mazingira nayo yanaruhusu,ingekua Kwetu,dogo angelazwa baada ya siku mbili.
 

wewe kweli ulicheza utotoni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…