Kweli hawa ni marafiki wa kweli
meona eeeh
miss ajua nakutafuta
Inavutia
Hiki kichwa cha habari naona kinakufaa wewe mankachara kwani hichi kidude unachoendesha ni best friend wa watoto walio wengi. Nakumbuka enzi zangu nikiendesha hako kafari hata nyumbani wapike wali mi simo niko mitaani tu natafuta abiria na magunia ya mkaa.
heri ya mwaka mpya unanitafuta kwa heri?
Heri tu ubaya uje nao wewe, heri ya mwaka mpya