Urafiki wa Jinsia Tofauti

Sidhani kama upo, maana huyu rafiki yangu wa kike namtamani kiasi kwamba akiangalia pembeni nami humwangalia kwa tamaa kubwa.

Yaani nikiwa naye sharti nivae boksa mbili hadi tatu Ili kuzuia mchi wangu usitune sana.

Ni mtihani kwa kweli!
 
Kama ukiwepo basi ni lazima mmoja au wote wawe na kasoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…