Urafiki Wa Gwajima, Seif Na Lowassa. Ulianza Lini? Je Ni Wa Dhati? Una Maslahi Yoyote Kwa Taifa?

Sema hivi , Askofu Gwajima akutana na Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi mh, Seif Sharif Hamad. Sisi wananchi ndivyo tujuavyo. Hao wengine ni vibaraka vya mkoloni tu.
 
Kagame na Magufuli ni wapinga rushwa, ubadilifu, wapinga ufisadi na zaidi wansdumisha mahusiano kati ya nchi zetu
Usinichekeshe wewe....hivi ile mahakama ya wapiga rushwa aka mafisadi ameshawafunga wangapi vile??
 
asante brother kwakutusaidia kushare,kunawatu unaweza kudhani unapowawekea dis caption unawachafua kumbe ndio unazidi kuwa ongezea wafuasi na mashabiki...!!!hii ina dhihirisha uwezo wa vijana wa lumumba nikuongelea watu sio sera za chama chao maybe ndio viwanda walivyo ahidiwa:(:(:(:(

Mbona kama umejibu hoja yako binafsi. Muwe mnakumbuka basi sehemu nyingine mnazochangiaga hoja kama hizi sehemu zingine. Iwe Lumumba au Keko. Hoja yake binafsi Huna cha kuchangia wahi chooni
 
Mbona kama umejibu hoja yako binafsi. Muwe mnakumbuka basi sehemu nyingine mnazochangiaga hoja kama hizi sehemu zingine. Iwe Lumumba au Keko. Hoja yake binafsi Huna cha kuchangia wahi chooni
we pia nikijana wa Lumumba??
 
kama wanasiasa, urafiki wao lazima uwe na maslahi kwa taifa, otherwise wanaweza kuwa wanapanga njama ovu kwa taifa hasa ukizingatia mpambe wao ni huyo Mtumishi wa Mungu mwanasiasa, atawapotosha
Kwa hyo wanasiasa hawatakiwi kuwa marafiki badala yake wawe maadui!! Akili fupi hii
 
Back
Top Bottom