Wengi hamjui wawili hawa walikuwa na ukaribu wa wastani na kuheshimiana ,By then Diamond alikuwa anamtreat kam bro na mkongwe wa kumuonesha njia ukitizama picha zao utagundua kuna viashiria vya utiifu sana ,hebu tizama kwa umakini :
View attachment 812778
View attachment 812779
View attachment 812780
View attachment 812781
,hii tabia Diamond anayo sana anajiweka karibu na gari analotaka kuli-overtake kwenye mbio ,rejea urafiki wake na hawa ambao badae aliwapiku na kuwapotezea Alianza na bob junior ,akahamia kwa Mr blue akaenda kwa TID (alikuwa akionekana sana kinondoni studio kwao na jamaa) .
Diamond tatizo lake kubwa linalompelekea kugombana na ma-role model wake ni kwamba kijana kwanza si mlevi wa pombe kiivyo bali mlevi wa totoz sasa bob junior alikuwa mlevi sana ,wakilewa kijana anaiba mademu wa majamaa ,kumbukeni Wema alikuwa demu wa bob junior
View attachment 812785
lakini kijana akampindua ndo ukawa uhasama ,by the way bad roads leads to beautiful destination ,ili kufanikiwa kuna kipindi lazima ukanyage wengine cha muhimu kuwataka radhi na kutubu kwa allah.
Ni kweli lakini hawakuwa serious ni kama Diamond alivyopita na irene uwoya ni ile ya shobo za ustaa tuu ila by then diamond hakuwa naubavu wa kuwa na wema iwe kifedha wala jina ,kwani kwa kipindi kile wema alikuwa wa chalz baba level ya kunyanganya ilikuwa ya staa wa kipindi hicho bob junior (toto la kishua mbaya) kina diamond walikuwa vijana wa uswazi wanaojipendekeza kwake .Kumbuka Diamond akajiweka mazima ,bob mwanzo alichukulia poa alipoona jamaa kiki itamtoa akaanza kumbania ,alipotaka arekodiwe wimbo ''gongo la mboto'' alimkazia atoe hela by then kama laki 5 tu niamini mimi diamond alikuwa hana ndo kujitoa kwake kwa masharobarouwongo tuu huo wema alikua demu wa bob junior??
duh kumbe ndo ishu ilikua hv oNi kweli lakini hawakuwa serious ni kama Diamond alivyopita na irene uwoya ni ile ya shobo za ustaa tuu ila by then diamond hakuwa naubavu wa kuwa na wema iwe kifedha wala jina ,kwani kwa kipindi kile wema alikuwa wa chalz baba level ya kunyanganya ilikuwa ya staa wa kipindi hicho bob junior (toto la kishua mbaya) kina diamond walikuwa vijana wa uswazi wanaojipendekeza kwake .Kumbuka Diamond akajiweka mazima ,bob mwanzo alichukulia poa alipoona jamaa kiki itamtoa akaanza kumbania ,alipotaka arekodiwe wimbo ''gongo la mboto'' alimkazia atoe hela by then kama laki 5 tu niamini mimi diamond alikuwa hana ndo kujitoa kwake kwa masharobaro
Hii mkuu huwa inatokea hata kwa marafiki unakuta jamaako labda anajina na mahela wewe uko so humble mnakaa naye baa analeta kila siku mpya baada ya wiki anawapiga chini ,sasa wewe huna hadhi ya kimuonekana ila kitendo cha kupata fulsa ya kukaa nao sana kupitia jamaa you make a true love ,maana wanapata kujua the value inside you beyond umaarufu na pesa ,baada ya hapo jamaa analalamika umemuibiaduh kumbe ndo ishu ilikua hv o
Issue ilianza walitakaga kufanga collabo sema walishakubaliana vizuri Diamond aliitwaga radio station sikumbuki ni ipi ila akaanza kusema "hapo tutaona nani atamfunika nani" ndo hapo ali kiba akawa anapiga chenga kupiga chenga ndo mpaka leo bifu limekua kuubwaNakumbuka kila kitu kilianza baada ya Diamond kutoa Hit Songs kadhaa, haters wakaanza maneno maneno na kumshawishi Kiba atoe nyimbo kumfunika Diamond. Akatoa wimbo wa kawaida tu lakini haters wa Diamond wakashangilia na maneno mbofumbofu kibao. Kiba akashtukia mchezo kwamba bifu kwa upande wake linalipa, ndio tunaona mpaka leo hii bado miyeyusho tu
Issue ilianza walitakaga kufanga collabo sema walishakubaliana vizuri Diamond aliitwaga radio station sikumbuki ni ipi ila akaanza kusema "hapo tutaona nani atamfunika nani" ndo hapo ali kiba akawa anapiga chenga kupiga chenga ndo mpaka leo bifu limekua kuubwa
Hii ilishawahi kunitokea hata mimi niling'oa demu wa jamaa baada ya kuja gheto kwake akamzaba sana vibao,full kumzalilisha halaf demu hana hata buku ya nauli daah huku na huku mi nikamuokoa yule demu nikamtoroshea mlango wa nyuma nilikua na buku tano nikamuitia bajaji fasta demu huyoo akalala mbele,asee hiyo ndo ilikua point yangu ya ushindi....good enough demu akapata shavu kampuni flan hivi...nilifaidi sana.....jamaa baada ya kujua nakula mzigo ndo tukawa maadui mpk leo...Hii mkuu huwa inatokea hata kwa marafiki unakuta jamaako labda anajina na mahela wewe uko so humble mnakaa naye baa analeta kila siku mpya baada ya wiki anawapiga chini ,sasa wewe huna hadhi ya kimuonekana ila kitendo cha kupata fulsa ya kukaa nao sana kupitia jamaa you make a true love ,maana wanapata kujua the value inside you beyond umaarufu na pesa ,baada ya hapo jamaa analalamika umemuibia
Hii ilishawahi kunitokea hata mimi niling'oa demu wa jamaa baada ya kuja gheto kwake akamzaba sana vibao,full kumzalilisha halaf demu hana hata buku ya nauli daah huku na huku mi nikamuokoa yule demu nikamtoroshea mlango wa nyuma nilikua na buku tano nikamuitia bajaji fasta demu huyoo akalala mbele,asee hiyo ndo ilikua point yangu ya ushindi....good enough demu akapata shavu kampuni flan hivi...nilifaidi sana.....jamaa baada ya kujua nakula mzigo ndo tukawa maadui mpk leo...
Nan kakwambia Bob junior mtoto wakishua? Namjua vizur mnooo.Ni kweli lakini hawakuwa serious ni kama Diamond alivyopita na irene uwoya ni ile ya shobo za ustaa tuu ila by then diamond hakuwa naubavu wa kuwa na wema iwe kifedha wala jina ,kwani kwa kipindi kile wema alikuwa wa chalz baba level ya kunyanganya ilikuwa ya staa wa kipindi hicho bob junior (toto la kishua mbaya) kina diamond walikuwa vijana wa uswazi wanaojipendekeza kwake .Kumbuka Diamond akajiweka mazima ,bob mwanzo alichukulia poa alipoona jamaa kiki itamtoa akaanza kumbania ,alipotaka arekodiwe wimbo ''gongo la mboto'' alimkazia atoe hela by then kama laki 5 tu niamini mimi diamond alikuwa hana ndo kujitoa kwake kwa masharobaro
Si nilipendwa kutokana na huruma yangu niliyoionyesha...sikua na jinsiWe Chinga One kumbe shemeji shemeji huku unazima taa?
Tiririka japo kidogo mkuu basiNan kakwambia Bob junior mtoto wakishua? Namjua vizur mnooo.
hahaha.. unajua kila mtu ana viwango vyake iliakuone wakishua. Wengine wakiona mtu ana gari mbili na nyumba basi wakishua.Nan kakwambia Bob junior mtoto wakishua? Namjua vizur mnooo.
Chinga One ni mtu mkaliWe Chinga One kumbe shemeji shemeji huku unazima taa?
Bob jr "" ananafuu mnooo ya maisha "" family yao inajiweza "",acha kutka kuleta uwongo hapa" namjua " vizuri piaNan kakwambia Bob junior mtoto wakishua? Namjua vizur mnooo.