Urafiki umeisha kisa gari

Kwani wenye magari binafsi huwa hawapandi daladala? Au wanaopanda daladala wote hawana magari yao binafsi?
 
Kuna thread ilisha letwa na masai dada kuhusu confidence na wanaume!

Tatizo liko hapo!
 
Last edited by a moderator:
Kwani wenye magari binafsi huwa hawapandi daladala? Au wanaopanda daladala wote hawana magari yao binafsi?

Nanukuu alivyoniambia.
""Unasemaje nipo njiani nadrive naenda town"" ghafla namuona yupo kwenye daladala.
Kwa hiyo kuwa na uelewa huo.
Nashukuru kwani najua umenielewa
 
Just a friend!!Hapa ndo huwa mnabugi dada zangu lazima jamaa alikuwa anaelekea kwenye kugegedana tu.

Hiyo inaitwa Friendship for a purpose.

Huyo mshua hakuwa mhaya kweli? Maana hizo ni Kanyigo-like mbwembwe.

Endelea kumpigia kuulizia habari za gari mpaka abadili namba ya simu.
 
Nanukuu alivyoniambia.
""Unasemaje nipo njiani nadrive naenda town"" ghafla namuona yupo kwenye daladala.
Kwa hiyo kuwa na uelewa huo.
Nashukuru kwani najua umenielewa

Mm ninayo na ningependa tuwe marafiki unasemaje kuhusu hili? ?
 
Mm ninayo na ningependa tuwe marafiki unasemaje kuhusu hili? ?

Nashukuru kwa mchango wako na kwa kujitolea kuwa na Mimi simply you hv a car!!!!!
Naomba niishie hapo kwa lengo moja tu la kutokuwaudhi wale ambao wanataka kuendelea kutoa maoni yao.
Thanks I appreciate and value your contribution
 
gari lake ratiba wataka upange weye,majangaa
 
kwikwikwi ni bora kununua lako!
 
Psychologically..mwanaume ukiwa na gari linaongeza hata nguvu za kiume..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…