lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!
Peopleeeeeeeeessssssssssss!!!!!!
Jamani ile tabia ya ubesteee na Mume/Mke wa mtu wa kukolea japo hamfanyi chochote jamii inauchukuliaj! Mfano wa company ya Bier, na mitoko maybe na stori stori za maisha!!!! Eti kama umeolewa afu mumeo ana rafiki rafiki mdada will it bother you?
For me sioni tatizo coz vita ushavishinda na ndani umewekwa, sasa kwanini usijiamini!? For me i have a friend this married guy tulikuwa tunafanya kaz wote zamani, he is super nice, sio mchoyo kabisaa, plus anaenjoy company yangu sanaaa! Hajawahi kuniomba kidude! Kjistukia tu na kumpotezea naona sio haki, sababu mtu hajanikosea chochote! hatujakwaruzana! Tena kila mda anamuongelea mkewe like its kitu cha kawaida!
Japo kuna wadu wananiponda sanaaaa! Sasa mi sioni kosa liko wapi? He is not cheatting on her!!!! Wala hajawahi kugusia hilo swala! Kwani a dude akioa ndo mwisho wa urafiki wake na wadada!???? Kosa lake labda kutoa offer za bier!
Eti wajameni hapo kuna utratra wowote ili nimpotezee huyu baba flani au it is okay kumchangamsha changamsha bab flani wa watu!