Urafiki, Mapenzi, Uchumba na Ndoa JF

Hivi itakuwaje JF wakiweka webcam Capability...? au ni bora watu tubakie a Mystery....,?
 
Ni kweli kabisa Nazjaz na mimi pia nilishasema natafuta mchumba ila bado sijampata alie tayari please tuwasiliane kweny private message

umesema ukweli kabisaaaaaa........mi nafikiri kama unampenda mtu kwa yale aandikayo au anayoyaunga mkono si mbaya mkafahamiana,yote ni maisha tu....na hayana formula......lidumu hili jukwaa....
 
Mmmmmh :coffee:
 
Michelle,
hebu njoo kule nikupatie ujumbe wako!!!!!
 
Wewe ndoto za jinamizi juu yako haziniishi mwana wa mwenzio
hebu hapo tuanze na wewe kwanza,
yupi ambae umeshawahi pata hisia zake?
 
Wewe ndoto za jinamizi juu yako haziniishi mwana wa mwenzio

Duuuh! Mwambieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aeleweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
sijui watu hawaioni hii au ndio wameshakufuata
kimya kimya kwa pm?

Ni kweli kabisa Nazjaz na mimi pia nilishasema natafuta mchumba ila bado sijampata alie tayari please tuwasiliane kweny private message
 
Mimi sijapata hisia.
 
Mmmmmhhhh.... unaweza kujikuta unaota avatar ya mtu....LOL this is serious...I need a rehab ASAP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…