Unachat na wake za watu kumbeKiukweli mitandao ya kijamii imetukutanisha wengi na inasaidia sana kufahamiana pamoja na mambo mengine
Lakini kwangu mimi kila binti niliyefahamiana naye kupitia mitandao ya kijamii au simu za kiganjani tumeishia nyumba za wageni na kugegedana tena bila hata kutongoza sijui nakupenda sijui nakuona kwenye grass...yaani kiuraini tu.
Sasa najiuliza kwa wake za watu ambao mnachati kila kona sijui kama mnapona....?
sasa utajuaje kama ni mke wa mtu wakati huko fb kila mtu ni single lady au single parentUnachat na wake za watu kumbe
Kuwa makini mkuu
Kuwa makini mkuuusasa utajuaje kama ni mke wa mtu wakati huko fb kila mtu ni single lady au single parent
Nimeona hakuna faida yoyote kuwa na marafiki wa kimtandao hasa wa kike nimeleta uzi huu baada ya kutubu na kuacha kabisa hii tabia kiukweli sio nzuribaada ya mwez mtoa mada anakuja kudai ameambukizwa pangusa hivyo anaomba tiba
Labda nikuulize swali...unakuwa na lengo gani pale unapoanza mawasiliano na hao mabinti?Nimeona hakuna faida yoyote kuwa na marafiki wa kimtandao hasa wa kike nimeleta uzi huu baada ya kutubu na kuacha kabisa hii tabia kiukweli sio nzuri
1. KuwatafunaLabda nikuulize swali...unakuwa na lengo gani pale unapoanza mawasiliano na hao mabinti?
Weee endelea kutafuna...nitakuja kukusaidia kumeza1. Kuwatafuna
2. Kuwatafuna
Kujivunia kugonga malaya wa mtandaoni ni low self esteem, maana hata hao wake za watu wanaenda huko mtndaoni ili wapate kutimiza haja zao kwa watu wasiowafaham maana mtaan kwao bwana mkubwa anafahamika, so sio swala la kujivunia ni pathetic inshortZamani nilikua najiulizaga mtu anafanyaje mambo kama hayo anakuja kujisifia lakini baadae nikaja kugundua, ukiona mtu anajisifia hivyo ujue hajawahi kufanikiwa chochote anataka kupima upepo kama wapo waliokwisha kufanikiwa kwa kiwango hicho. Pia malaya wanaojiuza wapo sana kwenye kila mtandao na ndio hao unaoishia kuwagegeda ndio maana unasema mambo yenu yanaishia nyumba za wageni maana huwa hawatakagi mazoea zaidi ya chapaa tu.
Hamnaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke, labda baina ya ndugu tu mnaochangia damu, ila mtu anatafuta rafiki wa mtandaoni kwa lengo moja tu akijipindua analamba asaliWeee endelea kutafuna...nitakuja kukusaidia kumeza
Wale Kaka zangu humu, nitaanzaje kuwakimbia? Acha nione Kama watanibandua[emoji6]Hamnaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke, labda baina ya ndugu tu mnaochangia damu, ila mtu anatafuta rafiki wa mtandaoni kwa lengo moja tu akijipindua analamba asali