Funuki Nungula
Member
- Jan 12, 2021
- 9
- 9
URAFIKI HADI NDOA
Vijana wengi wanaingia katika matatizo wakati wa ndoa zao kwa sababu wanasahau kiungo muhimu Cha ndoa.
Kiungo hiki ni urafiki, yaani kijana wa kiume au wa kike anatakiwa kumfanya rafiki Kwanza mtu yule ambaye anategemea kuwa mwenza wake.
Ili amjue tabia yake Kwanza ndipo achukue uamuzi wa kuweka wazi nia yake(hisia zake).
Jambo hili litawafanya wanandoa marafiki kujuana mapungufu yao. Hivyo ni chanzo Cha kuwa na ndoa yenye amani na furaha.
Kwa hiyo nawashauri vijana ambao hawajaoa wasiruke hatua hii kwani ni hatua nyeti Sana.

(natania)