iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 377
- 887
Hiyo inawatokea nyie wenye pesa nyingi. Sisi wengine tukiwa na stress tunalala tu, na usingizi ukigoma kuja, tunaishia kufumba macho kwa lazima.Natumai ni wazima wa afya nyote.
Mimi nahisi nina tatzo langu binafsi la kutumia pesa nyingi pindi ninapokua mpweke, najikuta nafanya vitu vingi vinavyonigharimu pesa nyingi ili moyo wangu uwe na furaha na amani,
Naombeni ushauri na ufafanuzi kuhusu hili jambo, huwa ni kwangu tu ama hata kwenu nyinyi kwa upande wenu pindi muwapo na stress/ upweke huwa mnajikuta mnafanya vitu vingi vyenye kutumia gharama kubwa ili ku-kutuliza upweke na stress.?
😀😀😀😀kwanza tusio na hela stress yetu kuu ni hela hiyo hela ya kutumia ovyo inatoka wapiHiyo inawatokea nyie wenye pesa nyingi. Sisi wengine tukiwa na stress tunalala tu, na usingizi ukigoma kuja, tunaishia kufumba macho kwa lazima.
Tungepata hizo hela za kutumia ovyo, basi stress zingeyeyuka automatically 😅😀😀😀😀kwanza tusio na hela stress yetu kuu ni hela hiyo hela ya kutumia ovyo inatoka wapi
Kiufupi,Anatafuta "ke" wa kutumia pamoja hizo pesa mingi.Angalau ungetaja vitu unavyofanya tungejua tunaanzia wapi kukusaidia
Huyu anaonekana ni wale madomo zege,anazunguka sana badala ya kuelezea shida yake kua anatafuta tu KE.Kiufupi,Anatafuta "ke" wa kutumia pamoja hizo pesa mingi.
Hiyo inawatokea nyie wenye pesa nyingi. Sisi wengine tukiwa na stress tunalala tu, na usingizi ukigoma kuja, tunaishia kufumba macho kwa lazima.