john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
kiufupi nina mwonekano wa mtu mwenye pesa mabinti wengi wanakutaga tofauti na kupelekea mahusiano kuwa na kashikash nyingi nimebarikiwa utoaji sana ila sina vingi kama mtazamo wa walio wengi
Sina mpango na yoyote dogo acha ujinga!
Jamani mi mpweke sio kawaida sio kawaida sio kawaida namaanisha nateseka sana na upweke.
Sielewi kwanini nashindwa kupata mpenzi wa kuniliwaza.
Si ajitokeze binti yeyote anipende na mimi jamani.
Natajitoa sadaka kwa mwanamke yeyote atakayejitokeza na kunipa moyo wake na hii naweka nadhiri kwa Mungu.
Mimi ni kijana wa kawaida umri 25 years mkazi wa Dar.
Sina ubaguzi wa rangi dini au kabila binti yeyote atakayeguswa na hili ikampendeza karibu tujenge malengo, umri sio kipaumbele changu cha msingi mioyo yetu ipatane.
tumeumbwa tofauti ndo maana hata shuleni wakati mwingine analia na hesabu mwingine analia na kiswahiliWanaume wengine mna matatizo Sana , Facebook, Instagram,mitaani kila Kona ya jiji wanawake ni wengi sna inafikia hatua mpaka wengine tunawakimbia alafu bado Kuna wtu kma nyie mnaangaika iv .....utakuwa haujiamini aisee na Hilo Ni tatizo Sana kutokujiamini kwako siku nyingine utakuja kuweka uzi hpa kuwa una upungufu wa nguvu za kiume
we me au keOkay nicheki dm tuyajenge
Ni me huyo mkuu....ukienda huko PM ujiandae kushikishwa "ukuta" [emoji1787][emoji1787]we me au ke
Achana nao fanya issue zingineJamani mi mpweke sio kawaida sio kawaida sio kawaida namaanisha nateseka sana na upweke.
Sielewi kwanini nashindwa kupata mpenzi wa kuniliwaza.
Si ajitokeze binti yeyote anipende na mimi jamani.
Natajitoa sadaka kwa mwanamke yeyote atakayejitokeza na kunipa moyo wake na hii naweka nadhiri kwa Mungu.
Mimi ni kijana wa kawaida umri 25 years mkazi wa Dar.
Sina ubaguzi wa rangi dini au kabila binti yeyote atakayeguswa na hili ikampendeza karibu tujenge malengo, umri sio kipaumbele changu cha msingi mioyo yetu ipatane.
Kuna makosa ya kiufundi unayafanya hapo kati....lazma kuna vitu unakoseanajitahidi but naishia njiani
Muyajenge kivipi na wewe ni wa kiume? Una akili sawa sawa kweli?Okay nicheki dm tuyajenge
Mkuu utaingia cha kike hapo [emoji16][emoji16][emoji16]we me au ke
Wewe hat shule hujamaliza unaanza kulalamika mambo ya upweke, ebu Rudi darasani kasome huko usituletee uchuro mi nilijua una miaka 40
we me au ke
Mkuu utaingia cha kike hapo [emoji16][emoji16][emoji16]
Sina mpango na yoyote dogo acha ujinga!
Umsaidie kivipi? Tuanzie hapoKwani huwezi msaidia mtu akiwa jinsia moja na wewe? Okay sawa
mkuu avatar ya mshikaji imekaa kichoko chokoUmsaidie kivipi? Tuanzie hapo