Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,610
- Thread starter
-
- #21
kiufupi nina mwonekano wa mtu mwenye pesa mabinti wengi wanakutaga tofauti na kupelekea mahusiano kuwa na kashikash nyingi nimebarikiwa utoaji sana ila sina vingi kama mtazamo wa walio wengiUshasema story ilkufanya kua muoga kuingia kwnye mahusiano
Sasa unatafuta binti akutoe upweke ili muingie kwenye biashara au?
nayo pia inachangia economics freedomBado uko kwenye nafasi ambayo haikupi mamlaka ya kupendwa.
bora itanikeep busyMkuu tulia sali fanya mambo yako asikudanganye mtu kuwa wanawake wanaondoa stress, unaweza pata mwanamke pasua kichwa akakuongezea hizo stress mara kumi zaidi, tulia mwanamke wa maisha atatokea tu lakini sio kwa kuforce hivi
Wanawake huwa wanaongeza stress zaidi kama utapata mwanamke pasua kichwa tulia
ilo jina litanikosesha fursaPunguza usomi huo wewe ni tajiri mpweke sasa..
i need love sex napataKama ni domo zege tumia pesaa
Kama ni domo zege tumia pesaa
😂😂😂😂 Idumu Jf mileleTAJIRI MSOMI
tajiri 1
Tajiri Kichwa
Tajiri mpole
Tajiri Mtoto
Tajiri Tanzanite
Tajiri wa Magomeni
tajiri wa mwanza
tajiri2018
tajiridalali
Kujeni mmsaidie ushauri mwenzenu huku 🙂
Ni vizuri ukaweka wazi kilichokusibu hadi kuwa muoga ili upate kusaidiwa zaidi.sijaajiliwa ila nafanya internship ofisi fulani.
mi mtu wa club kias ila mda mwingi nikiwa free nafanya mazoezi na kucheza mpira then kulala.
nimewahi kuwa na mahusiano my last relationship ilikua mwez wa 6 kuna story kubwa iliyosababisha kua muoga kuingia katika mahusiano till now
Ni vizuri ukaweka wazi kilichokusibu hadi kuwa muoga ili upate kusaidiwa zaidi.sijaajiliwa ila nafanya internship ofisi fulani.
mi mtu wa club kias ila mda mwingi nikiwa free nafanya mazoezi na kucheza mpira then kulala.
nimewahi kuwa na mahusiano my last relationship ilikua mwez wa 6 kuna story kubwa iliyosababisha kua muoga kuingia katika mahusiano till now
Hapo kwenye kupata mpenzi wa kukuliwaza ndio stress zilipo sasa. Kama unabisha, ngoja umpate ndio utaelewa [emoji28][emoji28][emoji28]Jamani mi mpweke sio kawaida sio kawaida sio kawaida namaanisha nateseka sana na upweke.
Sielewi kwanini nashindwa kupata mpenzi wa kuniliwaza.
Si ajitokeze binti yeyote anipende na mimi jamani.
Natajitoa sadaka kwa mwanamke yeyote atakayejitokeza na kunipa moyo wake na hii naweka nadhiri kwa Mungu.
Mimi ni kijana wa kawaida umri 25 years mkazi wa Dar.
Sina ubaguzi wa rangi dini au kabila binti yeyote atakayeguswa na hili ikampendeza karibu tujenge malengo, umri sio kipaumbele changu cha msingi mioyo yetu ipatane.
i need love sex napata
Sina mpango na yoyote dogo acha ujinga!Sasa ule mpango wetu vipi aisee?
Maana woga umeisha nataka nikucheki pm.
Awake na shanga🤣🤣🤣fungua duka la cosmetics,uza vyupi mkuu utawatafuta sana
Tabia yako mwanzoni mwa mahusiano ndo kinachokuponza jaribu kwenda nao polepole mkuukiufupi nina mwonekano wa mtu mwenye pesa mabinti wengi wanakutaga tofauti na kupelekea mahusiano kuwa na kashikash nyingi nimebarikiwa utoaji sana ila sina vingi kama mtazamo wa walio wengi