Upweke unanitesa jamani

Binti wakirombo tunaishi mara moja ...furahia maisha yako

Injinia wakipare sahizi anatumbuliwa chunusi na mkewe wewe unateseka bure
 
Miezi mitano tu unalalamika hivyo, je sisi wenzio tulioishi miaka saba tutasemaje!
 
Maliwatoni kutafuta nini tena, hebu malizana na binti wa kirombo ulete mrejesho hapa, Maliwatoni muachie mtumishi Illovo make hana dem yule
Yaani hiyo avatar ilifanya nisikugundue kabisa!!
 
Huna rafiki wa company? Hebu nitafute nikupe kampani...uwe na hela za kula bata lakini.
I mean bills utaclear wewe!

Ha ha haah....nimeipenda hiyo. Unistue basi tuwe wote ili nimsaidie ku-clear bills
 
Huna rafiki wa company? Hebu nitafute nikupe kampani...uwe na hela za kula bata lakini.
I mean bills utaclear wewe!

Ha ha haah....nimeipenda hiyo. Unistue basi tuwe wote ili nimsaidie ku-clear bills
 
Maliwatoni kutafuta nini tena, hebu malizana na binti wa kirombo ulete mrejesho hapa, Maliwatoni muachie mtumishi Illovo make hana dem yule
Teh teh..Namaanisha nilivyoiona picha nikataka kuingiza vocal..Kuangalia vizuri kumbe ni mpendwa..Binti wa kirombo nishamalizana nae...Leo naenda kukemea pepo
 
Aaaah ndo maana nakupendaga hujawahi kuniangusha kwenye mambo ya fursa
 
@Eli79,hebu tusaidiane kuwauliza wadogo zako hili swali la mdogo wangu mama Claree...

Kwa nini wamemfanyia hivi jamani, au tuvuke boda na wao waanze kulalamika? Siyo vizuri walivyofanya.

Teh teh, nilikuwa sijaiona hii mtani. Inakuwaje engineer wa kipare amuache binti wa kirombo.

...huwa hatuwaachi watani zetu, hatuvukagi mipaka, ni k'njaro tu. Ngoja nitaongea na engineer wa kipare arudishe majeshi.
 
Arudishe tu kwa kweli...

Tusijetafuta excuse ya kuvuka boda... Teh
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…