Upweke unanitesa jamani

Sitatumia mwanya huu kukupata maana hiyo itakuwa ni tamaa. Ila ninachoweza kufanya ni kwanza kukuoa pole...
Alaf pili.. hata mm nimepigwa kibut juzi tu hapa.. mpaka sasa najihis barid.
Tatu.. take my tuwasiliane
kwa mpangilio huu wa tenses sidhani kama wallet inasoma
 
Kama upo dar ni-pm, tuangalie namna ya kuitendea haki weekend hii
 
mmm na sikuiz ukiwa na frastrations tu unakuwa kipofu take care
 
Kumbe ndo maana pm yangu imejaa SMS zako,i never know!......Ngoja nichukue hatau sasa hivi!!
 
Mpaka nimekosa appetite ya kula Kwa kuuwaza upweke ulionao. Pole sana.
 
Poleeeeeee ila siku nyingine utumie akili kwanza kabla ya hisia ili kumkubalia mwanamme.
 
Siku hizi,mkiandika Natafuta mchumba......Hamueleweki!
 
Yani ndo ninachokupendea mpendwa..Uwa haunisahau kwenye matukio muhimu..Ngoja nimtafute nikalikemee hilo pepo la upweke..
Btw ukibadili avatar uwe unatoa taarifa..Nusu niingie maliwatoni
Maliwatoni kutafuta nini tena, hebu malizana na binti wa kirombo ulete mrejesho hapa, Maliwatoni muachie mtumishi Illovo make hana dem yule
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…