binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 965
Una umri gani?Jaman ni miezi mitano tang injinia wa kipare aone hawez kupika na tena chungu kimoja na mim ,,,,, baada ya maumivu na kumsahau sasa nimekuwa mpweke mpka basi yaan nakaa ndani kama mwali nataman siku zote ziwe siku za kazi nikitaka kampan ya marafiki wananiambia wako na mabebi wao jaman upweke, niache upweke khaaa nashindwa sijui huu upweke utaisha lini , Ijinia wa kipare kwann ulinifanyia hivi hadi sasa nateseka kuwa mpweke sikuzoea hivi , uwiiii jaman
Sitatumia mwanya huu kukupata maana hiyo itakuwa ni tamaa. Ila ninachoweza kufanya ni kwanza kukuoa pole...Jaman ni miezi mitano tang injinia wa kipare aone hawez kupika na tena chungu kimoja na mim ,,,,, baada ya maumivu na kumsahau sasa nimekuwa mpweke mpka basi yaan nakaa ndani kama mwali nataman siku zote ziwe siku za kazi nikitaka kampan ya marafiki wananiambia wako na mabebi wao jaman upweke, niache upweke khaaa nashindwa sijui huu upweke utaisha lini , Ijinia wa kipare kwann ulinifanyia hivi hadi sasa nateseka kuwa mpweke sikuzoea hivi , uwiiii jaman
@Eli79,hebu tusaidiane kuwauliza wadogo zako hili swali la mdogo wangu mama Claree...Jaman ni miezi mitano tang injinia wa kipare aone hawez kupika na tena chungu kimoja na mim ,,,,, baada ya maumivu na kumsahau sasa nimekuwa mpweke mpka basi yaan nakaa ndani kama mwali nataman siku zote ziwe siku za kazi nikitaka kampan ya marafiki wananiambia wako na mabebi wao jaman upweke, niache upweke khaaa nashindwa sijui huu upweke utaisha lini , Ijinia wa kipare kwann ulinifanyia hivi hadi sasa nateseka kuwa mpweke sikuzoea hivi , uwiiii jaman
Yani ndo ninachokupendea mpendwa..Uwa haunisahau kwenye matukio muhimu..Ngoja nimtafute nikalikemee hilo pepo la upweke..Nini mpare, kutana na injinia wa kichina Kaboom
Upweke wote bye bye
Kumbe Injinia wa kipare ndo maana pole Single and lonely hii hali ni ngumu kwa sababu utashindwa kufanya maamuzi sahihi hapo ni upweke ndo unakudrive kwahiyo ukiona mwanaume yoyote kavaa suruali utaona anakufaa kumbe be single but not alone kuwa mtulivu mahusiano huwa yanakuja tu naturally tena utasahau yote machungu kuwa focused na kusaka life things will fall into place binti wa kiromboJaman ni miezi mitano tang injinia wa kipare aone hawez kupika na tena chungu kimoja na mim ,,,,, baada ya maumivu na kumsahau sasa nimekuwa mpweke mpka basi yaan nakaa ndani kama mwali nataman siku zote ziwe siku za kazi nikitaka kampan ya marafiki wananiambia wako na mabebi wao jaman upweke, niache upweke khaaa nashindwa sijui huu upweke utaisha lini , Ijinia wa kipare kwann ulinifanyia hivi hadi sasa nateseka kuwa mpweke sikuzoea hivi , uwiiii jaman