gambada ynwa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 394
- 376
Polesana mkuu Mungu atakusaidia usikate tamaaNo wife, no kids, no job and still live in my mother place.
Wakuu, nimemaliza chuo four years previously baada ya kusoma sana kwa shida kutokana na kutokuwa na wa kunilipia ada. Toka nimemalize mpaka leo sijapata kazi zaidi ya kufanya kazi ngumu kama porter mlima Kilimanjaro na wakati mwingine nikawa napata za kufunga hema mbuga za wanyama ama kufua nguo za wageni, lakini toka rais aanze kubana na kazi zenyewe hazionekani tena.
Nipo kwenye nyumba ya mama till now na miaka ndio inayoyoma sana coz am over 30 saa ingine uwa naona ata aibu kutembea barabarani. Pamoja na hayo sina ata mtoto ila to be honest I wish even to have a single child, girls today are really tough to handle and I can't afford them, nimebaki njia panda sijui nilisoma ya nini ningejua maisha yangewa magumu hivi ningempa mtu mimba kipindi nipo chuo coz kuna fursa nilikuwa nazipuuzia.
Naombeni ushauri wenu wakuu labda utanisaidia na kunipa mwanga maana maisha yamekuwa magumu sana.
Hii ndio shida ya kusomea fani nyepesinyepesiThanks mkuu, unajua sio rahisi kuwa na mchumba ata hela huna ata akiwa na kazi ni pagumu pia anaweza kukukimbia, ofcoz nimeplan kama nikifanikiwa kupata kamtaji nianze ujasiriamali naona kama utanipaI mwanga zaidi
Unganisha teller hapo mkuu huenda ukapata kitu hii ni JF bana....Hapana unanisingizia mkuu mimi mgen
i kabisa kweli tena
Hahaha...hujamtendea jamaa haki mkuupole sana mkuu,.kwani huwezi hata kupiga puli ingekufariji sana
Hata wanawake msikatee [emoji125] [emoji125]Sasa huyo mtoto atalelewa na nani? Au nae atakuwa mzigo wa bibi? Shughulika na changamoto ya moja ndio uwaze nyingine.
Mwanaume hakati tamaa.
Hatukati, tunakomaa hadi mwisho.Hata wanawake msikatee [emoji125] [emoji125]
Haya shout out kwa hilo...Hatukati, tunakomaa hadi mwisho.
ha ha ngoja ajaribu kwanza najua atakuja na majibu positiveHahaha...hujamtendea jamaa haki mkuu
Kwa hizo stress alizonazo ataangukia bafuni na kufwariki...asijaribuha ha ngoja ajaribu kwanza najua atakuja na majibu positive
ha ha haKwa hizo stress alizonazo ataangukia bafuni na kufwariki...asijaribu
Hebu msaidie kijana mwenzetuPole sana
Upo wapi njoo kwangu nikupe mtoto
Pls jaribu kuwa karibu nae umliwazeSasa huyo mtoto atalelewa na nani? Au nae atakuwa mzigo wa bibi? Shughulika na changamoto moja ndio uwaze nyingine.
Mwanaume hakati tamaa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Pls jaribu kuwa karibu nae umliwaze