Umenitia moyo sana mkuu I believe one day God will make a wayPole mkuu, I once lived without work, child, wife, house, money for a year, as l write now it is three years back and l am having all of the above with a son! Be courageous God is good!
Wala sijasema natafuta ila nasikitika kutokuwa na uwezo wa kumiliki kutokana na hali ya maishaPole sana. Ila kwa ushauri wangu usijaribu kutafuta mtoto au mke wakati maisha yako mwenyewe yanashindikana kuyaendesha. Kama ulikulia kijijini au umewahi shika jembe, jaribu kilimo cha bustani. Kinalipa
Wala sijajitenga mkuu ila si mara nyingi najichanganya maana waweza mwambia mtu tatizo lako akawa anakucheka badala ya kukusaidia, nowadays binadamu wamepoteza utu
Jikaze kiume bora uko na mama mjini na wasio na mama kabisa ? pia kaa na watu vizuri Brand your sefl
i kabisa kweli tenaUna undugu na Miss Natafuta
Nilipomaliza chuo nilijitolea sana mwishowe nikaona sipati kitu nikaamua kuachaPole mkuu. Ila hauko peke yako tupo wengi tu katika tabaka tofauti. Kuna walio na kazi lakini ni wapweke kabisa. Kuna wenye familia na watoto mambo safi but still wapweke tena sana. Na kuna single mothers wanakazi na kila kitu bado ni wapweke. Kikubwa ni kujichanganya na vikundi vya michezo na groups tofauti. Tafuta kazi hata kama ni ndogo. Siku hizi watu wanaanza kwa kujitolea. Usife moyo
Mmh una moyo kaka, then mie mwenyewe sipendi nimpe mtu matatizo maana bado sijiwezi better to be alonePole mkuu. Ila hauko peke yako tupo wengi tu katika tabaka tofauti. Kuna walio na kazi lakini ni wapweke kabisa. Kuna wenye familia na watoto mambo safi but still wapweke tena sana. Na kuna single mothers wanakazi na kila kitu bado ni wapweke. Kikubwa ni kujichanganya na vikundi vya michezo na groups tofauti. Tafuta kazi hata kama ni ndogo. Siku hizi watu wanaanza kwa kujitolea. Usife moyo
Ukaimalizaje?ilinisumbuaga sana hio hali, be strong, jikaze kiume