Upweke umenichosha

Upweke umenichosha

okonkwo jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
2,419
Reaction score
1,739
Napenda jitokeza kwa safu hii kutafuta mwenza wa kike wa maisha sifa zake. mwenye hofu ya mungu, awe na elimu kuanzia fomu 4 nakuendelea, itakuwa njema kama atakuwa ameajiriwa katika sekta rasmi,umri wake uwe kuanzia 20~25yrs, awe mrefu na mwembamba wa wastani, na itampendeza mungu zaidi ikiwa atakuwa mkiristo.

Rangi yeyote ila weusi uliokoza hapana na wala weupe wa kununua hapana.Sifa zangu,Mimi mkiristo,mwalimu wa sekondari,kabila langu ni msukuma,umri wangu ni 28 yrz ni mrefu na mwembamba wa wastani na rangi ya maji ya kunde, ni mcha Mungu.

Aliye tayari aongozwe roho mtakatifu anitafute kwa pm


===UPDATES===
Hadi muda huu saa 8:30 mchana TAREHE 13/11/2015 bado sijapata ninayemtaka,wadada tafadhari uwanja ni wenu.
 
Wadaa nafasi ya kazi hapa imetangazwa.....
 
Nina mdogo wangu mwalimu wa primary school ana watoto wawili sijui atakufaa?
 
kubwa zima ujinga tu. Wasukuma cjui mkoje.. Ndo mana mnauziwa TIN number kwa elf 50

Invisible naomba sana mniondolee matusi haya kwa uzi wangu,kanikosea heshima mtu huyu.
 
Last edited by a moderator:
kubwa zima ujinga tu. Wasukuma cjui mkoje.. Ndo mana mnauziwa TIN number kwa elf 50

mkuu ukabila umeingiaje tena hapa? haujui kwamba rais wako ni msukuma na bado unazidi kumtukana? waTZ tupendane tusibaguane kwa ukabila wala kwa udini na ni vyema mleta maada kipengele cha dini akakiondoa,nafikir utajutia kosa na umwombe radhi muumba wako.
 
Invisible naomba sana mniondolee matusi haya kwa uzi wangu,kanikosea heshima mtu huyu.

mwanaume asie na mke ni muhuni tu!..una heshima gani wewe sasa!
...ndio mana huna hata mwanamke,yani mtu kakujambisha kidogo tu unakimbilia kusema!...mwanamke gani atataka mwanaume urojo kama wewe sasa?
Kaseme tena,blalifuu!
 
Last edited by a moderator:
Napenda jitokeza kwa safu hii kutafuta mwenza wa KIKE wa maisha SIFA ZAKE. mwenye hofu ya mungu,awe na elimu kuanzia fomu 4 nakuendelea,itakuwa njema kama atakuwa ameajiriwa katika sekta rasmi,umri wake uwe kuanzia 20~25yrs,awe mrefu na mwembamba wa wastani,na itampendeza mungu zaidi ikiwa atakuwa mkiristo.Rangi yeyote ila weusi uliokoza hapana na wala weupe wa kununua hapana.
SIFA ZANGU,Mimi mkiristo,mwalimu wa sekondari,kabila langu ni msukuma,umri wangu ni 28 yrz.ni mrefu na mwembamba wa wastani na rangi ya maji ya kunde,ni mcha mungu,aliye tayari aongozwe roho mtakatifu anitafute kwa pm
ParttimeDuty.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom