Habari wana JF.Ni miaka
minne na nusu sasa toka niachane na mume wangu,cjawa na mahusiano
mengine yoyote kwa kuogopa kuumizwa tena.Lakini kadri siku ziendavyo
najihisi mpweke sana,na bado nina woga wa kuumizw.naomba nisaidieni
mawazo,nifanyeje?
Habari wana JF.Ni miaka minne na nusu sasa toka niachane na mume wangu,cjawa na mahusiano mengine yoyote kwa kuogopa kuumizwa tena.Lakini kadri siku ziendavyo najihisi mpweke sana,na bado nina woga wa kuumizw.naomba nisaidieni mawazo,nifanyeje?

zimwii likujuwalo halikukuli likakumalizaaaaa....msamehe umrudie
Aisee! wewe unafaa kuwa mke.wakati natafuta ulikuwa wapi jamani?? Kwa maana mimi makosa hayaishi ila uhakika wa kusamehewa ningekuwa nao!