Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

D
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa.

Mimi ni mwanamke 40yrs nahitaji mwanaume ambaye nae ana uhitaji kama wangu ila awe mkristo. Usaili mwingine tutafanyiana PM.
Wahenga karibuni only kwa walio serious tafadhali. Asante
Dada shikamoo. Umeshapata Mme tayari lakini. Kuna baba Yangu mdogo aligombana na Mke wake wakaachana. Kimila za kwetu mwanamke akikupiga hautakiwi uishi naye tena ni laana kubwa matambiko so ninapenda uwe mamdogo
 
Ulikuwa unachagua wanaume mpaka ukagonga 40? Ili upate chapchap sema aje mwanaume yoyote ila asiwe mume wa mtu.
 
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa.

Mimi ni mwanamke 40yrs nahitaji mwanaume ambaye nae ana uhitaji kama wangu ila awe mkristo. Usaili mwingine tutafanyiana PM.
Wahenga karibuni only kwa walio serious tafadhali. Asante
Mcheki humphrey polepole
 
Muhimu mapenz ya dhati umri namba Kama namba nyengine mm hapa nnjoo kwangu hakika hutojutia kwnz tutakaa tutaishi kwa amani upendo furaha na pia tutashauriana na kusaidiana mawazo kwenye mambo yamaisha vipo vingi hata hutopata usumbufu tutaishi vizuri tu nawasilisha ombi langu
 
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa.

Mimi ni mwanamke 40yrs nahitaji mwanaume ambaye nae ana uhitaji kama wangu ila awe mkristo. Usaili mwingine tutafanyiana PM.
Wahenga karibuni only kwa walio serious tafadhali. Asante
Miaka 40, mwanaume wa nini?!
 
..............Ulipokuwa kwenye 20's aah utasema hutazeeka ulivyokuwa unawakaushia wana mtaani sasa upo hapa unahangaika kuwatafuta wakati wao saizi wanawaza kusomesha watoto wewe unataka muanze maisha,labda ukutane na aliyepata bahati mbaya akampoteza mkewe..

Nia siyo kukukwaza ila nataka kuwaambia wadogo zako watakaopita kwenye huu uzi wako waangalie sana hatua zao kuna umri sahihi wa kutafuta mwenza waujue mapema wasije kuishia kama hii wewe.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Sio wote walikuwa wanawakaushia wana mtaa! wengine waliachika na kufiwa pia!! acha kuhukumu!! Mshukuru Munugu kama wewe uko kwenye ndoa imara mpaka Sasa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom