Huu ndio upuuzi wa leo kutoka kwa Masoud Kipanya fuatilia kwa makini halafu tafakari kwa kina ewe Mtanzania mwenzangu!View attachment 46912
Duh! Kweli ww bado umetawaliwa na zidumu fikra za mwenyekiti wa CcMfsdi.....inamaana bado hujasoma tu Alama za nyakati?! Wakati wa ukombozi Ni sasa BIG UP Masoud KP na R.I.P CcMfsd.
Huu ndio upuuzi wa leo kutoka kwa Masoud Kipanya fuatilia kwa makini halafu tafakari kwa kina ewe Mtanzania mwenzangu!View attachment 46912
Huko kwenye RED mbona unamu 'attack' hivyo mtuma picha????!!!! Kwani amefanyaje... ?
Kipanya mwenyewe ndo huuita hivyo..upuuzi wake. Tafuta dvd yake yenye collection za cartoon inaitwa upuuzi wa Masoud Kipanya.
It's OK. Lakini ulipoanza na heading ya Upuuzi wa Masoud njilidhania utazungumzia DVD mpya ya Masoud yenye fumbo la vipande 26 vya keki! Anyway, hakuna kilichoharibika lakiniHuu ndio upuuzi wa leo kutoka kwa Masoud Kipanya fuatilia kwa makini halafu tafakari kwa kina ewe Mtanzania mwenzangu!View attachment 46912
Hivi mkuu hizi dvd zinapatikana wapi,niliona jana tu anazungumzia juu ya hiyo kitu upuuzi wa masoud kipanya,ila hakutaj maeneo husika zinapopatikana hizo dvd,nataka niburudike na kuelimika pia
Mpuuzi ni wewe, kipanya yupo wazi sana!
Mpuuzi ni wewe, kipanya yupo wazi sana!