Wachumia tumbo haoWajinga wameshindwa andika 'Tanzania' badala yake eti 'Tanzanja'.. Yani mna poor market approach, poor questions mpaka poor text writing!..
Heri kubet unajua kabisa team zinacheza, ukikosa unaona kuliko huu upuuzi!.
View attachment 1259316
Wako sahihi au ulitaka waandike Tanzashibe?!