Le ngosha
Senior Member
- Aug 1, 2018
- 107
- 104
Habari wana jamvi?kwa zaidi ya mwaka na nusu nmekua mteja wa kampuni hii ya ving'amuzi.
Wakati naanza kutumia huduma zao niliipenda huduma yao ila kadri siku zinavyosonga ndivyo nimegundua kua kampuni hii ni ya kihuni na haina ubunifu wowote kibiashara ambao unaweza kumvutia mteja kuendelea kutumia huduma zao au kuhamia kutoka kampuni nyingine za ving'amuzi,kwa muda ambao nmekua mteja wao nimegundua yafuatayo;
Mosi,kushindwa kuweka channel za ndani za kutosha
kama ZBC,TVE,DTV nk..
Pili, kuendelea kutoza channel za ndani (Fta) ambazo kwa mujibu wa TCRA zinapaswa kutazamwa bure....
Tatu,kuondoa baadhi ya channel muda wowote wanapojisikia kv TV 1
Nne,kutokupatikana kwa baadhi ya channel za ndani hata ukilipia.
Niwaombe tcra kuwashukia hawa watu ili waache upuuzi na jeuri ambao wanatufanyia wateja wao.....