Upuuzi huu utaisha lini?

Upuuzi huu utaisha lini?

Joined
Nov 5, 2025
Posts
82
Reaction score
135
Tume imeundwa kama kisingizio tu. Inapewa maagizo ya nini cha kufanya, jinsi ya kufanya, na kwa namna gani, kisha kuripoti mahali fulani na kupokelewa kwa njia fulani, halafu bado inaitwa Tume Huru?

Vijana wa kitanzania ni mazombi hawawezi fikiri na kujiendesha, wanasubiri walipwe ili kudai haki zao, seriously?
Vijana, Bi Mkubwa anasema, hamuwezi jiendesha, nyie ni chawa tu, hamna ubavu wa kufanya lolete bila watu fulani kuwashika masikio yenu kwa pesa.
Bi mkumbwa anaamini vijana wake hawawezi kitu, wanachoweza ni uchawa tu. Hawana uwezo wa kufikiri mambo ya msingi katika taifa lao.

"Nendeni mkatafute vijana wanataka nini".....what the hell is going on with this human being? Is your f*k*ng head okay, madam?
Upuuzi huu utaisha lini?. Kila ninapoamka, roho yangu inaumia sana, nchi yetu ipo mikoni mwa watu ambao ni extremely incompetent haijawai tokea.

Leo unamka na kauli za ajabu za semaji, kesho kwa polisi, kesho kutwa Waziri, daa, Bi Mkubwa ndo funga kazi
 

Attachments

  • 1763658735325.png
    1763658735325.png
    846.1 KB · Views: 12
It will end when we the citizens take back our country from CCM

InaumaSana/ItHasAForkVery
 
Vijana wa kitanzania ni mazombi hawawezi fikiri na kujiendesha, wanasubiri walipwe ili kudai haki zao, seriously?
Vijana, Bi Mkubwa anasema, hamwezijiendesha, ni chewa tu, hamna ubavu wa kufanya lolete bila watu fulani kushika masikio yenu kwa pesa.
Bi mkumbwa anaamini vijana wake hawawezi kitu, wanachoweza ni uchawa tu. Hawana uwezo wa kufikiri mambo ya msingi katika taifa lao.
Mshauri wake Steve Mengele unategemea nini?
 
Anafikiri alivyokuwa akiwalipa wale wasanii na chawa wengine kwenda kujaza mikutano yake basi ndivyo Vijana wote Tanz walivyo??? Upuuzi mtupu.

Angeunda tune ya kwenda kuchunguza ni kwanini watu wengi hawajajitokexa kwenda kumpigia kura mapema? Wakati sekeseke lilianza mida ya saa tano na kukolea mchana?? Hata wale aliowahonga pikipiki na baisikeli walikuwa wapi??

Kila wakati utamsikia "Kazi na Utuu" Wakati yeye mwenyewe huamini katika fedha na vitu badala ya Utu. Kagawa fedha, vitu, vyeo lkn bado kaangukia pua.

Vijana Wazalendo wa Tanzania, sisi Wazazi, Kaka Dada zenu na marafiki zenu hatana tunalowadai. Kazi yenu mlifanya kwa mafanikio makubwa. Jasho lenu na damu yenu imemwagwa juu ya ardhi ya nchi yenu. Hatutaqeza kuwalipa lkn Mungu aliye Hai Atawalipa na Kutufuta machozi Sisi Wazazi wenu Kaka Dada na Wapendwa wenu wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom