Upungufu wa nguvu za kiume (sababu na ushauri.)

Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
637
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 637 280
Tatizo la nguvu za kiume limeendelea kushika kasi kwa wanaume na kusababisha matizo katika familia nyingi na hata amahusiano mengi kuvunjika ama vinginevyo.,Katika miaka ya hivi karibuni tunashuhudia wingi wa matangazo katika magazeti na media kunadi dawa za kuzuia ama kuponya kabisa taizo hili.

Hapa nimejaribu kuainisha baadhi ya sababu na madhala kisha ushaur wa nn cha kufanya kuepukana na tatizo hili sugu.hii ni kwa mujibu wangu binafi na sijakopi popote.
Sababu za tatizo.
1.Kunywa pombe kupindukia ama kila siku-unywaji wa pombe mara kwa mara ama kupindukia huuufanya mwil kuwa dhoofu hivo kukosa nguvu za kuhimil kaz.pia huwanya mhusika kukosa ham ya kufanya tendo.

2.Punyeto(kujichua) kwa muda mrefu-katika makuzi hutokea wakat ambapo kijana anakuwa na mihemko ya mwil na hivo kufikia hatua ya kujichua ama kwa kufuata mkumbo ama kwel kashindwa kuvumilia.hii pia ni sababu mojawapo ambayo inaleta taizo hili.kujichua kwa muda mrefu husababisha tatito la kisaikolojia ambapo mhusika haoni haja ya kuwa na mwanamke na hjvo humaliza haja zake kwa njia hiii.katika uume kuna mishipa ya arteli lakin pia kuna midogo ilozunguka uume inaitwa capilariez,ambayo hulegea mtu anapojichua na kusababisha dam kutofika uumeni kama inavotakiwa hivo uume hukosa nguvu za kusimama ipasavo.

3.Ulaji wa vyakula vya aina moja,-ulaji mbaya pia huchangia kwa namna moja ama nyingine tatizo hili.kwa kawaida mtu hushauriwa kubalace vyakula(balanced diet).,sio sahihi kula mfano ugali kila siku,tena bila hata bila mtunda wala mboga za majani.hii husababisha mwili kuzoea vyakula vya aina fulani na hivo kukosa virutubisho muhim vinavoupa mwili nguvu.

4.uvutaji sigara,madawa ya kulevya,vidonda sugu,ajali tinazoathiri viungo,magonjwa sugu n.k-hapa nimejaribu kuunganisha mambo ambayo yanashaabiana.hayo yote husababisha upungufu wa nguvu za kiume.

5.hofu,uoga huzuni,kutokujiamini na mazingira.-mtu akiwa na hofu kila akutanapo na mwanamke ni dhahili kuwa hatafanya tendo kwa ifasaha,vilevile akiwa hajiamini.pia mazingira humfanya mtu kutokuwa na moral wa kufanya jambo,mfano ukipenda kufanya tendo kwa kujificha sehem kawa vichakani,chumbani na sehem kama hizo huufanya mwanume kuwa mwoga na kujitahidi awahi kupiiz kisha hukosa ham tena ya kuendelea kufanya tendo.

6.Kaul mbaya na za kukatisha tamaa kutoka kwa wanawake wao.-mwanume akiambiwa hajamridhisha ama akisikia kwamba mpenzi wake kasema kwa watu kwamba hajamridhisha ni waz kwamba hukosa ham ya kufanya tendo na daima huwa na hili wazo kwamba huenda akashindwa tena.
7.kuwa na wanawake wengi,-hii humfanya mwanaume kukosa ham ya kuendelea na tendo kwa kuwa alitamani na sio kupenda,inawezekana alichokitarajia kwa mwanamke huyo sicho alichokikuta so humfanyaa kose ham ya kuendelea na tendo la ndoa.hufanya bao moja kisha huaga na kuondoka,hii humjengea mazoea na mwisho hujikuta kwamba hawez kufanya zaidi ya bao moja ama mbili.
8.kuchoka mwili kutokana na kazi ama mazoezi yaliyopitiliza,ama wanaokaa vitini kwa muda mrefu-hii huwatokea hasa madereva wa safar ndefu ama watu wanaokaa offisini muda mrefu,ama wanaofanya kaz ngum.husababish amaumivu ya mgongo na hivo kukosa ham ya kufanya tenndo

Ushauri.
1.kuacha kujichua ama kupunguza atleast mara moja kwa miez miwil kama huwez kuacha kabisa
2.kula vyakula vyenye mlo kamili
3.kujiamini na kuondoa hofu kwamba huwezi,jiamni kwamba we ni mwanaume uliekamilika
4.fanya mazoez kwa kiasi na upumzishe mwil.
5.zingatia muda wa kulala na usiuchoshe mwili n aakili kupitiliza.
Pata ushaur wa daktar ama mwanasikolojia pindi tatizo hili likianza.
6.kuwa na mpenzi mmoja na sio kila mwanamke unataka kumuonja hii hukusababishia matatizo piabkisaikolojia kwamba nikiwa na fulani ndo huwa nafanya kwa ufasaha.

Punguza ulevi na matumizi ya madawa ama vidonge kwa muda mrefu,pia punguza uvutajo wa sigara.
Kwa leo ni hayo tu wawezaongezea ama kukosoa maana ni mawazo yangu tu naweza nisiwe sahihi pia
 
Tatizo hili hutibika hata bila ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu jamani,ni kujiamini tu una maliz akila kitu.,we jiamni kwamba unauwezo wa kufanya mara nne ama tano ,na nikwel utafanya,lakini ukiwa mwoga kwamba sijui itakuwaje basi mi dhahiri kwamba hata mbili hutaweza
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Likes
47
Points
145
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 47 145
Haya wenye hayo matatizo ujumbe huo! Acheni habari za kutumia yale madawa ya kienyeji yasiyo na tafiti za kisayansi. Hayo yanaweza kuwamaliza kabisa na kujikuta huwezi tena kushiriki kwa ukamilifu zile habari!
 
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
637
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 637 280
Haya wenye hayo matatizo ujumbe huo! Acheni habari za kutumia yale madawa ya kienyeji yasiyo na tafiti za kisayansi. Hayo yanaweza kuwamaliza kabisa na kujikuta huwezi tena kushiriki kwa ukamilifu zile habari!
Ni kwel wakifuata ushaur huu wataepukana na aibu,nguvu za kiume ni jinsi utakavo jikontrol mwenyewe,kama kwel mtu alizaliwa rijal basi nguvu z kiume huwa hazipotei kwamba hawez kufanya tendo bali huwa ni stress tu za maisha
 
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
5,554
Likes
197
Points
145
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
5,554 197 145
^^
Nadhani hapa sio Free ideas tu bali Free constructive ideas.
Safi sana.
^^
 
Last edited by a moderator:
P

prof.mutunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Messages
341
Likes
1
Points
33
P

prof.mutunga

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2013
341 1 33
Asante mkuu well analysed umewasaidia vijana: Ila wanawake waache kuwagombeza waume kweli unakosa hamu,mie imenitokea alinikemea2! Bunduki ikadondoka
 
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Messages
15,206
Likes
2,355
Points
280
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2010
15,206 2,355 280
hahahahaah duniani kuna mambo, bunduki ilivyodondoka hukuvamiwa na adui?
Asante mkuu well analysed umewasaidia vijana: Ila wanawake waache kuwagombeza waume kweli unakosa hamu,mie imenitokea alinikemea2! Bunduki ikadondoka
 
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
637
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 637 280
Asante mkuu well analysed umewasaidia vijana: Ila wanawake waache kuwagombeza waume kweli unakosa hamu,mie imenitokea alinikemea2! Bunduki ikadondoka
Blhaha sawa kabisa mkuu haina shida
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,334
Likes
40,108
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,334 40,108 280
Mirungi pia inapunguza?
 
K

Keyser Söze

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2013
Messages
226
Likes
181
Points
60
K

Keyser Söze

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2013
226 181 60
If you are young in your thirties and below, you can not loose sex power just because of regular masturbation. It is your brain wave or guilt feeling that may be causing mental anxiety and thereby affecting your erection.There are many married couples who may be indulging in sex regularly and may be more frequently than your regular masturbation, do you think they loose sexual power? The answer is big no. The principle of sex is, use it or loose it. So please look in your mind are you thinking that sex with female is normal and masturbation is abnormal if so you must understand that the system does not understand how you are reaching orgasm or ejaculation.I have given my answers to similar questions today and I repeat for your information so that you can rectify your thinking and look for the real reasons of loosing your sexual power elsewhere also and not masturbation alone.
Here it Is. Masturbation is the stimulation of the sexual organs usually by a person himself, to obtain an orgasm. . Most people use their hands to masturbate Masturbation are a way of releasing pent up sexual energy. Most people start masturbating at the time of puberty. With changes in an individual's hormonal profile during puberty, there is a surge of sexual energy which can be released with the help of masturbation
Masturbation is harmful is the biggest myth surrounding masturbation. If indulged in moderation, masturbation, on the contrary, is a healthy practice that releases sexual energy. Other myths surrounding the act are that it reduces virility by making the semen less thick thereby reducing the chances of a man to bear children. This is totally untrue. Masturbation does not cause any loss of strength or virility in a person. Other facts on masturbation are that both male and females indulge in it. May be females do less than males or females discontinue after sexual relationships are formed, masturbation is not unhealthy or does cause any health hazards. However, it may be mentally unhealthy if it assumes obsessive proportions and the individual is unable to think of anything else. It may also have physical repercussions if the method has in built risk or instruments if any used to masturbate are dirty or infected.
One can stop masturbating if one wants to. Just as one can live without indulging in sex, one can also stop masturbating with some will power. However, since the activity has nothing to be ashamed of and most people do it, there is no scientific reason to discontinue it. If one still wishes to discontinue, then the sexual energy may need to be channelized into alternative physical activities.
 
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Messages
6,093
Likes
2,003
Points
280
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2009
6,093 2,003 280
hujazungumzia kisukari, bp, unene kupita kiasi
 
de fcb1 fan

de fcb1 fan

Member
Joined
May 20, 2013
Messages
14
Likes
1
Points
5
de fcb1 fan

de fcb1 fan

Member
Joined May 20, 2013
14 1 5
Mi mmoja wao nyeto nimejaribu sana kuacha lakini wapi nikishapiga ndo naanza kujuta....
 
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
637
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 637 280
hujazungumzia kisukari, bp, unene kupita kiasi
Hivo nimeunganisha kwenye magonjwa sugu na ya muda mrefu,na kuhusu unene pia ipo kwenyw kipengele xha kutofanya mazoez ama mazoezi.lakini pia uneme kama ulicosema ni tatizo pia kwa baadhi ya watu.asante
 
Forum statistics

Threads 1,273,817
Members 490,485
Posts 30,492,954