Upumzike pema peponi (Maria)

Upumzike pema peponi (Maria)

bado kuna maswali najiuliza kutokana na mkasa huu au hadithi hii
1:Maria alimpenda sana huyu kijana na hata kutamka kua NDIYE MWANAUME WA MAISHA YAKE je wangeishije milele ikiwa anajijua ni HIV carrier?
2:Kwa nini Maria aliumia sana aliposikia kua jamaa kamgegeda Fatuma ili hali yeye hakua tayari kumtuliza kipenz chake?

Mwandishi na wengineo mngenisaidia haya maswali nadhani mkasa huu utaleta uhalisia zaidi kuliko kubaki kua mkasa wa kufikirika

mkuu nahisi maswali yako yote yanajibika kirahisi tu kuwa Maria nae ni binadamu na ni mwanamke pia ana moyo so anapenda so kutamani Chris awe wake peke yake dispite kuwa ni mgonjwa sio ajabu na hawezi kujizuia kisa eti amekua infected. Na hapo kumwonea wivu mpenzi wake kisa katembea na Fatuma hali kadhalika. Iwapo mwandishi asingeweka hivyo vyote tungeamini story ni ya kufikirika. BUT ALL IN ALL TUWAPENDE NA KUWAJALI HAWA WATU NA PIA BIG UP KWA MARIA KWANI BINADAMU WENGI WETU TUMEKUA NA ROHO ZA KIUAJI HAPO INGEKUA MTU MWINGINE ANGEMWAMBUKIZA JAMAA MAKUSUDI TENA ANGEPATA EXCUSE KUWA ALITAKA KUMBAKA.
 
Back
Top Bottom