Upumbavu na ulofa wa sumaye, lowasa na chadema huu hapa

lacuna

JF-Expert Member
Aug 19, 2015
654
168
UPUMBAVU NA ULOFA WA LOWASA, SUMAYE NA CHADEMA:
Hv majuzi Mh. Mkapa ametoa kauli " ALIEHAMIA UKAWA NI MPUMBAVU NA LOFA" nini maana yake mzee huyu?

✳SUMAYE✳ Mzee huyu upumbavu na ulofa wake umetokana na kauli yake aliposema kuwa "Endapo CCM itampitisha Lowasa kugombea Urais mimi nitahama chama"mwisho wakunukuu. ..
Mzee huyu aliiongea kauli hii kwakua alijua kuwa Lowasa sio msafi ana makandokando mengi na nifisadi la kimataifa na alijiapiza kuhama chama sasa ajabu baada ya yeye kutopitishwa jina lake CCM amehama chama na kumfuata yuleyule aliyesema akichaguliwa anahama chama Hv huu sio Ulofa na upumbavu? Amekwenda Chadema na kuamua kumnadi Lowasa huu ni ulofa wa hali yajuu sana hata kama hamtaki ila ukweli ndio huo. .

✳LOWASA✳ Huyu kweli ni mpumbavu na Lofa tu maana hainiingii akilini chama cha CHADEMA walizunguuka nchi nzima toka 2008 wakimhubiri Lowasa kuwa ni Mwizi na Fisadi, mtaani na ndani ya Bunge yeye mwenyewe akiwa anasikia live vijana wa CHADEMA Mnyika, Lisu, Lema, Msigwa, Slaaa n. k wote hao walimsema wanavyojiskia kwa njia zote fb, Magazetini, TV zote walimhubiri vibaya lakini cha ajabu ameenda hukohuko kugombea Urais amesahau yote waliyomsema na kumtukana Hv huu si ulofa na upumbavu aliousema Mkapa? hata ukatae nayeye lofa tu kwa hali hii na ni mpumbavu vilevile. ..

✳CHADEMA✳ Hawa ndio vituko yaani ni malofa na niwapumbavu tena mamburula nawezakuongezea Mandoroboooo kweli kweli. Hv unawezaje kumtukana mtu kuwa fisadi na mchafu mwizi asiyefaa wakasema hafai kuwa Rais wakenda mbali kuwa anayemshabikia Lowasa akapimwe akili😂😂😂😂😂😂hapa tusemeje sasa? Sio Malofa hawa? kumchukua Lowasa kuwa mgombea wao sasa wanaanza kumsafisha jamani huu si upumbavu? Ila sishangai maana wamekutana wote malofa na wapumbavu tu. Aliyetukana na aliyetukanwa wote akili zao sawa tu. ..
Ogopa watu hao usiwape kura yako ya NDIYO Ipeleke kwa Magufuli
 
We naye kiboko.
Ukichungulia hotuba ya Mkapa nini?
 
Mbona Linda walimtukana hivohivo?

Nahisi alimaanisha siye watanzania ndo malofa na wapumbavu,maana mtu kajimilikisha mgodi hakuna hatua alizochukuliwa.
Na nyongeza yake ndege wanaofanana huruka kwa pamoja,hivyo kumteua Sumaye na Lowasa kama mawaziri katika serikali yake pia inaonyesha kuwa .........................waweza kujaza
 
UPUMBAVU NA ULOFA WA LOWASA, SUMAYE NA CHADEMA:
Hv majuzi Mh. Mkapa ametoa kauli " ALIEHAMIA UKAWA NI MPUMBAVU NA LOFA" nini maana yake mzee huyu?

✳SUMAYE✳ Mzee huyu upumbavu na ulofa wake umetokana na kauli yake aliposema kuwa "Endapo CCM itampitisha Lowasa kugombea Urais mimi nitahama chama"mwisho wakunukuu. ..
Mzee huyu aliiongea kauli hii kwakua alijua kuwa Lowasa sio msafi ana makandokando mengi na nifisadi la kimataifa na alijiapiza kuhama chama sasa ajabu baada ya yeye kutopitishwa jina lake CCM amehama chama na kumfuata yuleyule aliyesema akichaguliwa anahama chama Hv huu sio Ulofa na upumbavu? Amekwenda Chadema na kuamua kumnadi Lowasa huu ni ulofa wa hali yajuu sana hata kama hamtaki ila ukweli ndio huo. .

✳LOWASA✳ Huyu kweli ni mpumbavu na Lofa tu maana hainiingii akilini chama cha CHADEMA walizunguuka nchi nzima toka 2008 wakimhubiri Lowasa kuwa ni Mwizi na Fisadi, mtaani na ndani ya Bunge yeye mwenyewe akiwa anasikia live vijana wa CHADEMA Mnyika, Lisu, Lema, Msigwa, Slaaa n. k wote hao walimsema wanavyojiskia kwa njia zote fb, Magazetini, TV zote walimhubiri vibaya lakini cha ajabu ameenda hukohuko kugombea Urais amesahau yote waliyomsema na kumtukana Hv huu si ulofa na upumbavu aliousema Mkapa? hata ukatae nayeye lofa tu kwa hali hii na ni mpumbavu vilevile. ..

✳CHADEMA✳ Hawa ndio vituko yaani ni malofa na niwapumbavu tena mamburula nawezakuongezea Mandoroboooo kweli kweli. Hv unawezaje kumtukana mtu kuwa fisadi na mchafu mwizi asiyefaa wakasema hafai kuwa Rais wakenda mbali kuwa anayemshabikia Lowasa akapimwe akili😂😂😂😂😂😂hapa tusemeje sasa? Sio Malofa hawa? kumchukua Lowasa kuwa mgombea wao sasa wanaanza kumsafisha jamani huu si upumbavu? Ila sishangai maana wamekutana wote malofa na wapumbavu tu. Aliyetukana na aliyetukanwa wote akili zao sawa tu. ..
Ogopa watu hao usiwape kura yako ya NDIYO Ipeleke kwa Magufuli
Hongera, umefanikiwa kuingia katika top ten ya wajinga wa JF. Ongeza juhudi waweza kujinyakulia ushindi.
 
Hoja hapa ni kufukuza majizi mengi kwanza yaondoke. Huyu mmoja tuu hapa tutahangaika naye. Kama kweli mwizi. Lakini anaonekana anasingiziwa sio mwizi tuyajuwa na tutarrkebisha. Ila yale majizi mengi yakimbizwe kwanza.
 
TAARIFA YA KITAFITI:

Kama si kiongozi wa CCM, pia huna ndugu wa karibu mwenye nafasi yoyote ya uongozi kwenye chama cha CCM na bado uko kimbelembele kushabikia au kuwa mwanachama wa CCM.

Basi lazima utakuwa kwenye kati ya haya makundi yafuatayo:

1: Maisha yako yanaongozwa na nafsi binasfi kwa maana nyingine huna uzalendo na taifa hili la Tanzania.

2: Utakuwa una mapungufu makubwa kichwani kiasi cha kushindwa kutambua au kuona nchi hii ilivyoharibiwa vibaya na sera mbaya za CCM.

3: Umeshakata tama na huna uthamani na maisha yako hivyo uko tayari kuuza utu wako kwa pesa na vitu vidogo vidogo ili mradi siku ziende.

4: Utakuwa huna elimu au hujawahi kutoka nje ya Tanzania na kushuhudia maisha ya nchi zenye mabadiliko na maendeleo zaidi ya yale yanayokuzunguka

5: Una mapungufu ya uthubutu na huielewi thamani ya utu wako.

Utafiti umeshirikisha watu 900 katika mikoa 12 kwa njia ya ubora wa maswali.
 
attachment.php
 
Makamanda katika ubora wao
 
Yaani kwakweli sumaye, lowassa na chadema ni wapumbavu mno mno, tena ni malofa kweli, wale malofa hasa
 
Back
Top Bottom