Uptades: mbeya city vs ashanti nw on.

Uptades: mbeya city vs ashanti nw on.

Mpira umeisha mbeya city 1 ashant 0
 
Mechi ilikuwa ngumu sana lkn wanambeya wameshinda poleni ashanti.
 
Safi sana mbeya city,thanks very much Saitot for ur live updates
 
Last edited by a moderator:
Ahsanten wakuu naona mbeya city baada ya mechi wameanza mazoezi hapa , hawa madogo jeuri sana.
 
Leo ulinzi ni mkali timu zote naona zinasindikizwa na gari za polisi nyuma na mbele
 
LIGI KUU TZ-BARA: Azam yaichapa Ruvu Shooting 3-0, Mbeya City ikiiadhibu Ashanti 1-0, zarejea usukani wa ligi. Kwingineko; Mgambo 0-0 Coastal, Mtibwa 1-0 Rhino.

...karibu tena!
 
Viloba nw mbeya vinaitwa samaki wabichi hii ni kwa ajili ya kuweza kuingia navyo uwanjani maana kuna ulinzi mkali sasa .
 
Back
Top Bottom