UPT na mstari uliofifia

noel oga

JF-Expert Member
Oct 20, 2015
271
219
watu wa maabara tujuzane kuhusu hizi upt,nimempima mke wng leo mkojo ili kutambua uwepo wa mimba.upt imeonyesha mstari mmoja umefifia kama ulikuw unataka kuja na wa pili kuelekea kishikio umekolea wekundu.je naomb kujua kama pia n majb y mimba ipo
 
Ipo

Changa

Bhcg level zipo chini ndio maana mstari umefifia...hcg hu-double kila baada ya masaa 48...hivyo usishangae mstari kuendelea kukolea rangi


Next time tafuteni vile vipimo vya digital..vitasema kama not preggo, preggo, 1-2 weeks, 2-4 weeks
 
Back
Top Bottom