Ninasikitika kwa kuwepo kwa taarifa za kuchanganya juu ya usitishwaji wa mgomo wa madaktari.Baadhi ya vyombo vya habari mfano EATV walisema madaktari bingwa wamegoma, sijakaa sawa TBC nkasikia huduma MNH zimetengamaa sijatulia vizuri jf kuna thread kwamba specialist wamegoma hapo hapo kuna thread press release inayoonyesha excellent attendence ya madaktar leo! SASA NAOMBA TUPEWE taarifa sahihi
Mkuu kwa hiyo according to you habari za kweli daima ni zile zinazoipinga CCM na serikali yake?Unajua vitu vingine bwana, kupotezeana muda tu. Kuna vitu vya kuuluza na kuuliza. Kweli mtu amekakamaa na remote mkononi, anaangalia TBC huku akitegemea itampatia au kukidhi matarajio na matamanio anayoyataka...eti baadae pia anatoka hadharani mbele za watu kulalamika. Kuwa kama Arusha, walishapiga marufuku. Huko hawana watu kabisa, labda Monduli kidogo jirani na kwa yule jamaa (na kwake pia). Lakini naye nasikia hawaamini sana, mambo yake mengi huenda Channel Ten.
Doing the same thing, the same way, kila siku, kisha utegemee matokeo mengine, sijui tuite ni kitu gani.
Mkuu unayeangalia TBC kisha unakuja kulalamika hadharani kazana, ongeza na bili ya Uhuru na Mzalendo kila Jumapili.
Kamanda mwanzisha thread, pole, maana wakati mwingine ni vyema kuambiwa ukweli kwa namna mbaya ili mtu achukue hatua chanya, kumsaidia na kusaidia wengine.
Iko siku wananci wenye akili wataandamana kudai haki na stahili zao TBC maana wanatumia fedha za walipa kodi kinyume kabisa na wanavyopaswa kuwajibika. Time will tell, ingawa ofcoz wengine tunajua walishaanza ku-feel the pains, kitambo, wanachofanya ni kuendelea kushikilia tawi la mti unaoanguka.
Unajua vitu vingine bwana, kupotezeana muda tu. Kuna vitu vya kuuluza na kuuliza. Kweli mtu amekakamaa na remote mkononi, anaangalia TBC huku akitegemea itampatia au kukidhi matarajio na matamanio anayoyataka...eti baadae pia anatoka hadharani mbele za watu kulalamika. Kuwa kama Arusha, walishapiga marufuku. Huko hawana watu kabisa, labda Monduli kidogo jirani na kwa yule jamaa (na kwake pia). Lakini naye nasikia hawaamini sana, mambo yake mengi huenda Channel Ten.
Doing the same thing, the same way, kila siku, kisha utegemee matokeo mengine, sijui tuite ni kitu gani.
Mkuu unayeangalia TBC kisha unakuja kulalamika hadharani kazana, ongeza na bili ya Uhuru na Mzalendo kila Jumapili.
Kamanda mwanzisha thread, pole, maana wakati mwingine ni vyema kuambiwa ukweli kwa namna mbaya ili mtu achukue hatua chanya, kumsaidia na kusaidia wengine.
Iko siku wananci wenye akili wataandamana kudai haki na stahili zao TBC maana wanatumia fedha za walipa kodi kinyume kabisa na wanavyopaswa kuwajibika. Time will tell, ingawa ofcoz wengine tunajua walishaanza ku-feel the pains, kitambo, wanachofanya ni kuendelea kushikilia tawi la mti unaoanguka.
NI UPEPO TU UTAPITA, kisha JOSEPHAT JOSEPH tukasikia DHAIFU kisha LIWALO NA LIWE na sasa UNAWASHWAWASHWA.
Miundo ya vyama vyetu vya siasa inafanana.Unajua vitu vingine bwana, kupotezeana muda tu. Kuna vitu vya kuuluza na kuuliza. Kweli mtu amekakamaa na remote mkononi, anaangalia TBC huku akitegemea itampatia au kukidhi matarajio na matamanio anayoyataka...eti baadae pia anatoka hadharani mbele za watu kulalamika. Kuwa kama Arusha, walishapiga marufuku. Huko hawana watu kabisa, labda Monduli kidogo jirani na kwa yule jamaa (na kwake pia). Lakini naye nasikia hawaamini sana, mambo yake mengi huenda Channel Ten.