Waziri Mkuu ametangaza nia ya serikali kusambaza tani 1.5 million za chakula! Swali ambalo halijapata jibu; ni je hizo tani 1.5million zinatoka wapi!!
Ukweli ni kwamba, hata leo hii ukimuuliza PM hizo tani 1.5 million zipo wapi hawezi kuwa na jibu kwa sababu maelezo yake yameegemea kwenye Hotuba ya Waziri wa Kilimo Bungeni. Sehemu ya hotuba husika ni hii hapa:
Kwa maana nyingine, hivi sasa PM ameitumia forecast kuwa ACTUAL!
Lakini haidhuru, tuendelee kutumia Forecast as Actual.
Gazeti la Habari Leo linamnukuu PM:
Turudi kwenye taarifa ya Waziri bungeni:
Na kwavile serikali iliruhusu uuzwaji wa tani 1.5 Million, basi hizo tani 1.5 anazosema PM ni zile ZINAZOHISIWA kuwamo kwa wakulima!!!
Kwamba, PM anazungumzia ugawaji wa chakula ambacho serikali haikuwa na control nacho kwa sababu chakula walicho na control nacho ni kile kilichopo NRFA! Hiki ndicho chakula wanachoweza kufahamu kimetoka tani ngapi na zimebaki tani ngapi!
Kinyume chake, anazungumzia chakula toka kwa wazalishaji ambao wala address zao hawana na wala serikali haijui hadi sasa nani amebaki na tani ngapi!!!
Kutokana na ukweli huo, chakula pekee ambacho serikali ina control nacho ni zile tani 88, 152 alizosema PM kwamba zipo NRFA!!!
Tukirudi kwenye maelezo ya hapo juu kwamba mahitaji kwa mwaka ni tani 13, 159, 326; hapo utaona mahitaji kwa mwezi ni tani 1, 096, 610.5 na kwa siku tani 36,553.7
Ikiwa NRFA wana tani 88,152 na mahitaji kwa siku ni tani 36,553.7; ina maana tani 88,152 zinatosheleza kwa siku mbili unusu tu!!! Lakini hata kama maghala ya NRFA yatakuwa yamejaa chakula, bado zitakuwa ni tani 246,000 ambazo zinatosheleza siku 7 tu!!!
Hilo la kusema kwamba taifa lina hifadhi inayoweza kutosheleza kwa siku 8 tu Zitto alishapata kulisema hapo kabla!!!

Kisha Waziri anatoa makisio ya mahitaji chakula:Mheshimiwa Naibu Spika, tathmini inaonesha kuwa Kitaifa, uzalishaji wa chakula utafikia tani 16,172,841 za chakula...
So, ukiisoma hiyo hotuba, hapo unaona kabisa kwamba ni FORECAST ya mavuno ndiyo ilikuwa ni tani 16.2 Million na mahitaji ni tani 13.2 Million na kuwa na ziada ya tani 3 million!Mheshimiwa Naibu Spika, ili nchi ijitosheleze kwa mahitaji ya chakula kwa mwaka 2016/2017 tunahitaji tani 13,159,326....... Viwango hivi vya ziada kwa mazao yote ya chakula ni tani 3,013,515.
Kwa maana nyingine, hivi sasa PM ameitumia forecast kuwa ACTUAL!
Lakini haidhuru, tuendelee kutumia Forecast as Actual.
Gazeti la Habari Leo linamnukuu PM:
Anachotuambia PM ni kwamba, kati ya zile tani 3 million za "ziada", serikali iliruhusu na hatimae kuuzwa nje tani 1.5 na kwahiyo tumebakiwa na tani 1.5 million ambazo ndizo ametangaza kusambaza. Je, hizo tani 1.5 million ambazo PM ametangaza kwamba zitasambazwa zimehifadhiwa kwenye maghala yapi?Sasa ni takribani miezi miwili tangu turuhusu mazao hayo kuuzwa nje ambayo ni takribani tani milioni 1.5.....
Turudi kwenye taarifa ya Waziri bungeni:
Kumbe uwezo wa NRFA kuhifadhi chakula ni ONLY tani 246,000. Si kwamba Waziri alidanganya kuhusu uwezo wa NRFA kuhifadhi chakula kwa sababu wenyewe wanathibitishaMheshimiwa Naibu Spika, Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa (NRFA) ina uwezo wa kuhifadhi jumla ya tani 246,000 kufikia tarehe 6 September, mwaka huu 2016. NRFA ilikuwa na akiba ya tani 67,506.92 ikijumuisha mahindi, mpunga na mtama
Hapo unapata picha moja muhimu. Kumbe hizo tani 1.5 million ambazo PM ametangaza kusambaza hazipo mikononi mwa serikali bali kwavile mavuno "yalikuwa" ni tani 16 million na mahitaji ni tani 13 million na hivyo kuwa na "ziada" ya tani 3 million!Wakala hutekeleza majukumu yake nchi nzima kupitia kanda zake saba.... NFRA ina maghala 33 yenye uwezo wa kuhifadhi tani 246,000.