amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,297
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una nini we baba.Sim yako inafanana na ile ya Don Nalimison inajiandika tu Nalia Ombama...[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumiss [emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una nini we baba.Sim yako inafanana na ile ya Don Nalimison inajiandika tu Nalia Ombama...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii hii unayotumia humu JF mkuu? Kama ni hiyo amini ni nzima mkuu.
Kuna moja wakati smart zinatoka ilikuwa ni M3, ilkuwa inajifungua saiti za porn tu, na kuitoa sasa hiyo sehemu haitoki mpaka uzime.
Matumizi yepi? Mi nilitaka iwe reserve phone, nilidhani Ni simu kumbe toy. Saa hizi kamechemka Hadi natamani kukawekea radiator ikapooze.Daaah s3 ram yake ndogo mkuu kwa matumizi yako ni kama unaibaka [emoji3][emoji3][emoji3]
Leo ime stuck, mbaya zaidi imegomea kwenye tunda kimasihara www.xvideos.comHaaa[emoji23][emoji23]
Ngoja kampeni zipambe motoNunua nyingine
Hii ya kwangu haijatimiza hata mwezi, niliinunuaHiyo ni Hali ya kawaida kwa sisi watumiaji nguli wa tecno, tunao elewa maana ya tecno huwa hatukai na simu zaid ya mwaka 1 tunauza ikafie kwa mtu mwngne
Mayai adhimu hayana spea[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuwa makini na hiyo simu mkubwa inaweza siku ikalipuka ikiwa mfukoni na kuharibu 'mayai'.
[emoji23][emoji23][emoji23]tecno bhana hizi ndo sifa zakeSimu yangu ni utopolo mtupu, unaweza ukawa uko kwenye application nyingine kabisa ie uko kwenye chrome, mara ghafla unakuta simu inajipiga yenyewe kwa namba yoyote ya kwenye phone book.
Ukiiweka mfukoni unakuta imejirekodi mavideo na imejipiga mapicha zaidi ya buku.
Betri inapata moto sana kiasi kwamba kama simu iko mfukoni inakuunguza kabisa. Inabidi uizime na uiache ipoe.
Simu hii ikiwa mfukoni unakuta imejituma meseji ya ajabu na inajituma kwa mtu yoyote, na muhanga mkubwa ni baba mkwe.
Kuna siku ilijituma SMS kuwa ninaomba hela ya kula, na kuna siku ikajituma sms kwa ex-girlfriend wangu kuwa I love you, without you I am nothing.
Pia hi simu haikai kabisa na chaji. Ikiwa full charge, baada ya masaa matatu Inakubudi uiweke Tena chaji.
Simu iko slow, ukifungua browser, unaweza kukaa dakika sita huoni herufi
Hii simu nimeinunua kwenye duka la Tigo, mwishoni mwa mwezi wa sita. Aina ya simu ni tecno S3
Ndugu zetu TECNO Tanzania [emoji1241] ongeeni na Wachina wenu waboreshe bidhaa.
Hatari kwa afya[emoji23][emoji23][emoji23]tecno bhana hizi ndo sifa zake
naitumia tecno M3 hadi leoHii hii unayotumia humu JF mkuu? Kama ni hiyo amini ni nzima mkuu.
Kuna moja wakati smart zinatoka ilikuwa ni M3, ilkuwa inajifungua saiti za porn tu, na kuitoa sasa hiyo sehemu haitoki mpaka uzime.
Duh😲😲😲Wewe Bujibuji jiangalie Mkuu, Hiyo uliyonayo siyo simu bali ni Msukule wa Simu. Naamini simu halisi alibaki nayo yuleeeeee rafiki yako uliyeambiwa ulamsalimie baada ya Kugonga taa ya Benzi Lake. Na bado Mkuuu mwaka huu lazima uisome namba teheteheeeeeee
EwaaaaNaweza ifananisha na hii yangu [emoji42][emoji42]View attachment 1509354