Upotolo wa simu yangu

Hiyo ni Hali ya kawaida kwa sisi watumiaji nguli wa tecno, tunao elewa maana ya tecno huwa hatukai na simu zaid ya mwaka 1 tunauza ikafie kwa mtu mwngne
Hii ya kwangu haijatimiza hata mwezi, niliinunua mwisho wa mwezi wa sita duka la Tigo.
Hivi Manchester City wanakubalije kudhaminiwa na huu Utopolo?
 
Juzi kati hapa kuna mwenzetu alileta Uzi kuhusu tatizo la Tecno yake na wewe ukadhihaki...na Mimi ngoja niwapigie Tecno waje wachukuwe hiyo takataka yao!
 
Hiyo itakuwa na kasoro toka kiwandani. Dosari hizo hazijalishi aina ya simu.

Me niliwahi nunua iphone, ikaniletea zengwe la hivyo nikaipiga chini mapema sana.
Ukinunua Iphone za mchina of couse lazima iwe hivyo. Lakini kama ni Iphone ya Apple basi utakuwa unatupiga fix hapa.
 
Huu uzi vijana wa yanga wataupita kama hawajaona kitu.
 
Hivi mkuu,vipi yule rafiki yako hajakutafuta tena?
 
Wewe Bujibuji jiangalie Mkuu, Hiyo uliyonayo siyo simu bali ni Msukule wa Simu. Naamini simu halisi alibaki nayo yuleeeeee rafiki yako uliyeambiwa ulamsalimie baada ya Kugonga taa ya Benzi Lake. Na bado Mkuuu mwaka huu lazima uisome namba teheteheeeeeee
 
Iwe inaongeza na akiba kwenye M Pesa
Bujibuji ukienda kuangalia katuni kwa yule rafiki yako wa Mbezi beach muombe akupe simu, mwambie simu yako tayari ime expire.
 
Mkuu si ungenunua sim mpya si ulipewa pesa na yule mzee wake na rafiki yako
 
Na bado hapo kuna siku utaweka mfukoni kuitoa utakuta imeomba mkopo tala, branch, imepost picha Jf, WhatsApp, inatuma sms za mchepuko kwa mkeo🤦🤣😅🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…